joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #121
Hivi wewe utakua poyoyo na kujidhalilisha kiasi gani kama mtu huyo huyo anarudia tatizo hilohilo Mara kwa Mara. Hivi unadhani Kenya ndio nchi pekee tunayofanya nayo biashara?.kazi ya waziri ni nini? Kama Kuna Tatizo ni jukumu LA waziri kuwasiliana Na upande Wa pili kujua Tatizo nini... Wao wanasitisha na Nyie mnasitisha... Unadhani anayeumia ni Nani? Ni ndugu yako mkulima wa nyanya ,machungwa, vitunguu etc.....tatizo fikara zetu za watu humu ndani ni kudhani tutawakomoa Wakenya watakosa chakula
Kwa siku za mwanzoni ni kweli baadhi ya wakulima weti watapata hasara ya pesa, lakini ndani ya muda mfupi tutapata masoko mengine, ila wakenya ndio watateseka zaidi kwa kukosa biashara na vyakola, katika hili wakenya ndio watakaoumia zaidi ya watanzania