Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

kazi ya waziri ni nini? Kama Kuna Tatizo ni jukumu LA waziri kuwasiliana Na upande Wa pili kujua Tatizo nini... Wao wanasitisha na Nyie mnasitisha... Unadhani anayeumia ni Nani? Ni ndugu yako mkulima wa nyanya ,machungwa, vitunguu etc.....tatizo fikara zetu za watu humu ndani ni kudhani tutawakomoa Wakenya watakosa chakula
Hivi wewe utakua poyoyo na kujidhalilisha kiasi gani kama mtu huyo huyo anarudia tatizo hilohilo Mara kwa Mara. Hivi unadhani Kenya ndio nchi pekee tunayofanya nayo biashara?.

Kwa siku za mwanzoni ni kweli baadhi ya wakulima weti watapata hasara ya pesa, lakini ndani ya muda mfupi tutapata masoko mengine, ila wakenya ndio watateseka zaidi kwa kukosa biashara na vyakola, katika hili wakenya ndio watakaoumia zaidi ya watanzania
 
😀 😀 eti soko lingine??? we can buy cheap grain from as far as usa, mexico etc...n its cheaper..
unakumbuka stori ya korosho???

its a buyers market
 
I wish i could be IGP niwanyooshe hawa nyang'au mpaka wavae nepi Kichwani.

Hakuna cha diplomasia wala protoko.........ningewanyoosha kama rula.

Tuna viongozi wapole sana na wenye hekima. But not to that extent!
 
Unajua asilimia kubwa ya bidhaa zetu za kilimo zinaenda wapi??
 
I wish i could be IGP niwanyooshe hawa nyang'au mpaka wavae nepi Kichwani.

Hakuna cha diplomasia wala protoko.........ningewanyoosha kama rula.

Tuna viongozi wapole sana na wenye hekima. But not to that extent!
Kenya cannot be shaken by LDC nations, you may threaten and blackmail but it never goes anywhere...

you can shake a fig tree, and then think its shaking but only your buttocks are shaking...
 
.
IMG_20200604_161629_414.JPG
 
Kenya cannot be shaken by LDC nations, you may threaten and blackmail but it never goes anywhere...

you can shake a fig tree, and then think its shaking but only your buttocks are shaking...
.
IMG_20200604_161520_879.JPG
 
Wanaoumia Ni wanaofanya biashara zao na kutumia iyo mipaka kama njia ya kufikia wateja wao. ...Wengi humu mnatoa Sumu zenu Kwakua haiwagusi...COVID -19 tuko nayo sana tu Upumbavu unamadhara kuliko ugonjwa wenyewe.Kenya ni nchi masikini sana nawashangaa sana wanaojipiga kifua na hii migogoro ya kitoto
 
😀 😀 eti soko lingine??? we can buy cheap grain from as far as usa, mexico etc...n its cheaper..
unakumbuka stori ya korosho???

its a buyers market
nyooo hayo mavi mnayo[emoji16][emoji16][emoji16]

tungekuwa tunawasumbua hapa kama tunvyotaka!!!na hizi jeuri zenu mtanunua mahindi tokea us,yabebwe na ndege.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom