joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #161
Hahahaha, hakuna mtumishi hata mmoja ambaye hajalipwa mshahara wake, uliza waalimu ambao hawafanyi kazi miezi mitatu sasa kutokana na Corona, wote wanalipwa na ndio kundi kubwa zaidi la watumishi wa umma, ni zaidi ya 52% ya wafanyakazi wote Serikali, iweje majaji ambao hawafiki hata 200 na wapo kazini kila siku wasilipwe, wacha kusikiliza maneno ya Mange Kimambi na Kigogo. Samahani kwa kutumia neno takataka.Mkuu unapoita wengine takataka hivi unajua Majaji wenu wa Mahakama hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili? April and May na bado hamna mtu anayehoji?
Polisi na wanajeshi hawajalipwa posho za mwezi May?
Alete data kuonyesha mahitaji ya mahindi kwa mwaka Kenya vs TanzaniaHahahahaa!!jamaa kakupiga vibaya sana, east africa kenya demand ipo juu sana..naona hapo ulipakwepa[emoji1787][emoji1787]
mawazo ya kimasikini haya...haujui kuna watz kibao biashara zao zinategemeana na Kenya and vice vesa.Ndio kila mtu abaki kwake
na hapo ukumbuke viongozi wenyewe hawaathiriki kbs kwa namna yoyote mpaka ufungwe au usingwe...maisha yao yanaendelea kama kawaida kwa kulamba mishahara na posho wakati mkulima wa viazi vya njombe mali yake inaharibikia hapo namanga!.Ni UJINGA KULIPA KISASI KWA KISASI....Akili za watu humu ni kushangiliana kwa kukomoana hawajui familia ngapi za kitanzania zinaumia na hii hali.... Hili suala lilifaa Viongozi husika kuwapigia wenzao simu Au kuonana nao na kujua nini Tatizo na kuyamaliza.hili suala ni jepesi Kumaliza... Sijaona sababu ya Viongozi wa Mikoa kuonyeshana ubabe WA kijinga ambao hausaidii Tatizo. ......hizi nchi zinategemeana.. Huyu unampa bidhaa Huyu anakupa pesa.. Wakulima wengi wa Tanzania kimbilio ni Kenya wanauza kwa bei nzuri na kubwa.... Wanaoshabikia Badala ya kutoa solutions ni WAJINGA.
exactly...tatizo la msingi hapa ni magumashi yetu TZ kwenye korona, hatuaminiki!!.Wakenya sio maadui, maadui ni akili zetu potofu wenyewe
Ndio ungelimuuliza kw hoja hvo, haya msubirie atakuletea akiona hii commentAlete data kuonyesha mahitaji ya mahindi kwa mwaka Kenya vs Tanzania
hii chai yenye mafuta umeitoa jiko gani???Mkuu unapoita wengine takataka hivi unajua Majaji wenu wa Mahakama hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili? April and May na bado hamna mtu anayehoji?
Polisi na wanajeshi hawajalipwa posho za mwezi May?
Sasa kama sampo za papai na mbuzi zilionesha zina korona wewe povu la nini 😡Nonsense
Kigogo atakuja waoa watoto wa kiume.Mkuu unapoita wengine takataka hivi unajua Majaji wenu wa Mahakama hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili? April and May na bado hamna mtu anayehoji?
Polisi na wanajeshi hawajalipwa posho za mwezi May?
Wewe upo tayari kuwasujudia wakenya? Tatizo la Kenya rushwa imetawala ndio maana wanalazimisha vipimo vifanyike mpakan ili wapate rushwa na wala lengo si kupima korona hata ukikutwa na korona ukitoa pesa unapita Sasa Kuna haja gani ya kumbembeleza mtu Kwan TZ pekee ndio itakayopata hasara? Najua kama hasara ipo Ila kwa TZ ni itakua ya watu Wachache Ila kwa Kenya litakua janga la taifamawazo ya kimasikini haya...haujui kuna watz kibao biashara zao zinategemeana na Kenya and vice vesa.
wananchi ndio watakaoumia, viongozi wenyewe hawana shida...mishahara na posho zao zipo pale pale mpaka ufungwe/usifungwe!.