Tanzania yang'aa kwenye MTV MAMA Nominees mwaka 2016

Duh.. Joh Makini asee... Hongera na kila la heri kwao.
 
Hii safi sana
Naona Jina Tanzania liki ng'aa
Mungu saidia wajawako.
Sasa mambo ya Team sijui nini haitakiwi
Hapa ni TANZANIA KWANZA
 
Tuwaunge mkono watanzania wenzetu, soka tunachemsha, walau tukomae huku kunakoonyesha nuru!
 
nchi kama nchi inafaidika na nini hapo?
 
Rekebisha hapo.... Ali Kiba hashei tuzo na mtu. Inshort hayumo kabisa

Huwezi sema Diamond anashare tuzo na p square kisa aliwashirikisha.

Akipata hiyo tuzo itakua ni yake... Sio ya ku sharw
 
nimeshawapigia kura wote,
lakini kila nilipotaka kumpigia kura Vanessa Roho ilisita,
Basi nikaachana nae...
KAMA KUNA MTU ALIYEKUMBANA NA HALI KAMA YANGU
 
Safi sana nawapigia wote kasoro ....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rekebisha hapo.... Ali Kiba hashei tuzo na mtu. Inshort hayumo kabisa

Huwezi sema Diamond anashare tuzo na p square kisa aliwashirikisha.

Akipata hiyo tuzo itakua ni yake... Sio ya ku sharw
Kuna tofauti y'a collabo na featuring mfano make me sing ya aka na diamond ile ni collabo ambayo aka ana 50 na dai ana 50 sawa na huo wimbo wa saut sol na Ali kiba.
 
Hivi kuvote ni mara moja tu kwa kila Artist?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…