Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Good...Done.
Najivunia tayari nimewapigia kura wote
Roho yangu nyeupe sasa baada ya kuwapigia kura wasanii wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good...Done.
Najivunia tayari nimewapigia kura wote
Roho yangu nyeupe sasa baada ya kuwapigia kura wasanii wetu
haujaulizwaNampigia diamond platanzania tu.
Wengine kushoto.
aiseee mbona hatari sasaBaraka za Magufuli hizi
[emoji46] [emoji47] [emoji46] tunajua kuji paish izoh level bado mkuu kura nshpgKimuziki sasahivi africa namba
1. Nigeria
2. South Africa
3. Tanzania
Sasa unafikiri nchi gani nyingine inafua dafu hapo??? Hebu itaje Usilete inferior[emoji46] [emoji47] [emoji46] tunajua kuji paish izoh level bado mkuu kura nshpg
Safi sana! name nahitaji kuelewa!Kura zinapigwaje. Niwapigie wote fasta
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nchi si watu?
Kuna tofauti y'a collabo na featuring mfano make me sing ya aka na diamond ile ni collabo ambayo aka ana 50 na dai ana 50 sawa na huo wimbo wa saut sol na Ali kiba.Rekebisha hapo.... Ali Kiba hashei tuzo na mtu. Inshort hayumo kabisa
Huwezi sema Diamond anashare tuzo na p square kisa aliwashirikisha.
Akipata hiyo tuzo itakua ni yake... Sio ya ku sharw