Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Kama hii ndio mizigo basi hapa kwenye treni nakubali mumetupiga 10-0. Lakini sidhani kama hii ndio treni yenu. Hii ni ya South Korea. Yenu bado haijaonekana
Bwana miwivu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hii ndio mizigo basi hapa kwenye treni nakubali mumetupiga 10-0. Lakini sidhani kama hii ndio treni yenu. Hii ni ya South Korea. Yenu bado haijaonekana
bado unakataa kwamba hatujaagiza treni hizi?
 
Back
Top Bottom