Walikamate hayawani huyo walitupe lupangoHivi unajua kukosoa takwimu zilizotolewa na serikali ni kosa kwa sasa au haupo Tanzania. Kwa taarifa yako Zitto anakabiliwa na kesi hiyo, shauri yako
Inategemea unazikosoaje! Kama ni kupayuka bila uhakika kama mpuuzi Zito hapo imekula kwako, lakini nina uhakika na kaulize NBS watakueleza kuwa ni mara nyingi tumezikosoa data zao nao wakarekebisha si kwa kutafuta sifa kama afanyavyo ZitoHivi unajua kukosoa takwimu zilizotolewa na serikali ni kosa kwa sasa au haupo Tanzania. Kwa taarifa yako Zitto anakabiliwa na kesi hiyo, shauri yako
Afadhali wewe unayeijua kuliko wote, maana sheria inapingwa nje na ndani wewe unasema unaijua haiko kama wanavyoieleza. Tueleze wewe unayejua, unaleta ngonjera.Sibishani nawe ila najaribu kuwaeleza ukweli katika hii sheria mnayoshadidia kila ukicha bila kuijua
Kwanza was aonesha hujaisoma, mna matatizo ya kurukia mambo kijuu juu! Hivi unajua hata uingereza na marekani statistical act zao zipo sawa na hii?Afadhali wewe unayeijua kuliko wote, maana sheria inapingwa nje na ndani wewe unasema unaijua haiko kama wanavyoieleza. Tueleze wewe unayejua, unaleta ngonjera.
Anamwogopa muuajiKwa hiyo taarifa hii ni siri?
Nani mna/wanamuogopa hadi waogope kutoa taarifa hadharani?
Weka link acha ubabaishaji wa kipuuzi.
Kwahiyo mkikosoa data zao maana yake nyie ndio hamkosei/hamkosolewi?Inategemea unazikosoaje! Kama ni kupayuka bila uhakika kama mpuuzi Zito hapo imekula kwako, lakini nina uhakika na kaulize NBS watakueleza kuwa ni mara nyingi tumezikosoa data zao nao wakarekebisha si kwa kutafuta sifa kama afanyavyo Zito
Swali lako bado halijaeleweka kwanguKwahiyo mkikosoa data zao maana yake nyie ndio hamkosei/hamkosolewi?
Kawachinje upate supu ya utumboHao ni mabeberu
Hahahaaa...tuko vizuriTuendelee kuunga juhudi za mheshimiwa Jiwe
tumung tunaomba utufanyie wepesi aisee projects nyingi sana tunafeliTanzania imeondolewa katika mradi wa kimataifa unaohusu mambo ya nishaji endelevu (sustainable energy management) sababu ikiwa ni matatizo ambayo wafadhiri wa mradi wanaona watapambana nayo kutokana na sheria ya Tanzania ya takwimu.
Mradi huo unahusu pia kuzifanyia upembuzi taarifa na takwimu zinazotolewa na serikali nishai, na pale zinapoonekana zina makosa kutumia njia nyingine zutakazoonyesha nini kinapaswa kuwa kweli (interpolation/extrapolation methods). Wafadhiri wa mradi huo walielezwa kwamba sheria ya Tanzania kuhusu takwimu haitawaruhusu kutoa maoni mbadala juu ya takwimu za Tanzania, hata kama zinaonekana kuwa hazisemi kweli.
Zaidi ya hilo, wataalamu hao walikabiliana na tatizo la Tanzania kuhudhuria mikutano na semina za mradi huo pale ambapo zilifanyika nje ya Tanzania, kutokana na ugumu wa Watanzania kupata ruhusa ya kutoka nje ya nchi.
Hatimaye wafadhiri wa mradi huo, baada ya majadiliano na wahusika wa mradi upande wa Tanzania, waliamua kuiondoa Tanzania kwenye huo mradi.
NB: Siwezi kuweka source kwa kuogopa kuichongea hiyo taasisi ya kimataifa na watu walio kwenye wizara walioridhia Tanzania kuondolewa kwenye huo mradi.
Vitu vingine kuvitetea ni UJINGA sharia inakataza kuhoji kwamaana kwamba watawala wakioa taarifa yao mwananchi huruhusiwi kudadisi unachitakiwa ni kupiga makofi ya shangwe tu! Unataka kuniambia hiyo taasisi haikuisoma hiyo sheria kubalini Nchi hii mnaipeleka kuzimuPamoja na kuwa sina haja ya kubishana nawe Synthesizer ila Sheria ya Takwimu haikatazi kuksoa takwimu za NBS! Wala haikatazi kuchukua takwimu kwa matumizi ya taasisi au mtu binafsi! Ni kawaida wadau kukosoa kwa data takwimu rasmi kama 10 fundamental principle of official statistics. Tatizo ni watu wankurupuka na kutangaza takwimu zisizo na uhalisia kwa kutumia sample ambayo si representative of the population.
Inategemea unazikosoaje! Kama ni kupayuka bila uhakika kama mpuuzi Zito hapo imekula kwako, lakini nina uhakika na kaulize NBS watakueleza kuwa ni mara nyingi tumezikosoa data zao nao wakarekebisha si kwa kutafuta sifa kama afanyavyo Zito
Wa TZ tembeeni kifua mberee huku mkiwa mmevua mashati.Tanzania imeondolewa katika mradi wa kimataifa unaohusu mambo ya nishaji endelevu (sustainable energy management) sababu ikiwa ni matatizo ambayo wafadhiri wa mradi wanaona watapambana nayo kutokana na sheria ya Tanzania ya takwimu.
Mradi huo unahusu pia kuzifanyia upembuzi taarifa na takwimu zinazotolewa na serikali nishai, na pale zinapoonekana zina makosa kutumia njia nyingine zutakazoonyesha nini kinapaswa kuwa kweli (interpolation/extrapolation methods). Wafadhiri wa mradi huo walielezwa kwamba sheria ya Tanzania kuhusu takwimu haitawaruhusu kutoa maoni mbadala juu ya takwimu za Tanzania, hata kama zinaonekana kuwa hazisemi kweli.
Zaidi ya hilo, wataalamu hao walikabiliana na tatizo la Tanzania kuhudhuria mikutano na semina za mradi huo pale ambapo zilifanyika nje ya Tanzania, kutokana na ugumu wa Watanzania kupata ruhusa ya kutoka nje ya nchi.
Hatimaye wafadhiri wa mradi huo, baada ya majadiliano na wahusika wa mradi upande wa Tanzania, waliamua kuiondoa Tanzania kwenye huo mradi.
NB: Siwezi kuweka source kwa kuogopa kuichongea hiyo taasisi ya kimataifa na watu walio kwenye wizara walioridhia Tanzania kuondolewa kwenye huo mradi.
Mkuu huu ni uhaini hshahahaWatumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Naona akili zimekurudia kwa sasaNadhani siyo kuchongea. Ni kweli tupu. Sheria zingine zilitungwa bila kushirikisha wadau, yaani hapakuwa na ignorance of corporate veil. Hilo ni tatizo ambalo litatusumbua sana. Lingine la safari ni kweli, kibali mtu unatakiwa kuomba 14 days kabla ya safari, na mara nyingi safari huwa ghafla, ingawa kuna dharula na inafanya kazi kwa masharti
Nimegundua wewe ni Ngumbaru wa hii sheriaInategemea unazikosoaje! Kama ni kupayuka bila uhakika kama mpuuzi Zito hapo imekula kwako, lakini nina uhakika na kaulize NBS watakueleza kuwa ni mara nyingi tumezikosoa data zao nao wakarekebisha si kwa kutafuta sifa kama afanyavyo Zito
Lijing kabisa. Kwani hizo sheria hazipo? Sema kuna namna zilivyokaaNaona akili zimekurudia kwa sasa