Tetesi: Tanzania yaondolewa kwenye mradi wa kimataifa kuhusu nishati endelevu kikwazo kikiwa ni sheria ya takwimu

Hivi unajua kukosoa takwimu zilizotolewa na serikali ni kosa kwa sasa au haupo Tanzania. Kwa taarifa yako Zitto anakabiliwa na kesi hiyo, shauri yako
Walikamate hayawani huyo walitupe lupango
 
Hivi unajua kukosoa takwimu zilizotolewa na serikali ni kosa kwa sasa au haupo Tanzania. Kwa taarifa yako Zitto anakabiliwa na kesi hiyo, shauri yako
Inategemea unazikosoaje! Kama ni kupayuka bila uhakika kama mpuuzi Zito hapo imekula kwako, lakini nina uhakika na kaulize NBS watakueleza kuwa ni mara nyingi tumezikosoa data zao nao wakarekebisha si kwa kutafuta sifa kama afanyavyo Zito
 
Sibishani nawe ila najaribu kuwaeleza ukweli katika hii sheria mnayoshadidia kila ukicha bila kuijua
Afadhali wewe unayeijua kuliko wote, maana sheria inapingwa nje na ndani wewe unasema unaijua haiko kama wanavyoieleza. Tueleze wewe unayejua, unaleta ngonjera.
 
Kwanza was aonesha hujaisoma, mna matatizo ya kurukia mambo kijuu juu! Hivi unajua hata uingereza na marekani statistical act zao zipo sawa na hii?
 
Kwa hiyo taarifa hii ni siri?
Nani mna/wanamuogopa hadi waogope kutoa taarifa hadharani?
Weka link acha ubabaishaji wa kipuuzi.
Anamwogopa muuaji

Sasaivi amesema hadharani wanaompinga wataishia magerezani, naona kapunguza adhabu.
 
Inategemea unazikosoaje! Kama ni kupayuka bila uhakika kama mpuuzi Zito hapo imekula kwako, lakini nina uhakika na kaulize NBS watakueleza kuwa ni mara nyingi tumezikosoa data zao nao wakarekebisha si kwa kutafuta sifa kama afanyavyo Zito
Kwahiyo mkikosoa data zao maana yake nyie ndio hamkosei/hamkosolewi?
 
Tanzania imeondolewa katika mradi wa kimataifa unaohusu mambo ya nishaji endelevu (sustainable energy management) sababu ikiwa ni matatizo ambayo wafadhiri wa mradi wanaona watapambana nayo kutokana na sheria ya Tanzania ya takwimu.

Mradi huo unahusu pia kuzifanyia upembuzi taarifa na takwimu zinazotolewa na serikali nishai, na pale zinapoonekana zina makosa kutumia njia nyingine zutakazoonyesha nini kinapaswa kuwa kweli (interpolation/extrapolation methods). Wafadhiri wa mradi huo walielezwa kwamba sheria ya Tanzania kuhusu takwimu haitawaruhusu kutoa maoni mbadala juu ya takwimu za Tanzania, hata kama zinaonekana kuwa hazisemi kweli.

Zaidi ya hilo, wataalamu hao walikabiliana na tatizo la Tanzania kuhudhuria mikutano na semina za mradi huo pale ambapo zilifanyika nje ya Tanzania, kutokana na ugumu wa Watanzania kupata ruhusa ya kutoka nje ya nchi.

Hatimaye wafadhiri wa mradi huo, baada ya majadiliano na wahusika wa mradi upande wa Tanzania, waliamua kuiondoa Tanzania kwenye huo mradi.

NB: Siwezi kuweka source kwa kuogopa kuichongea hiyo taasisi ya kimataifa na watu walio kwenye wizara walioridhia Tanzania kuondolewa kwenye huo mradi.
tumung tunaomba utufanyie wepesi aisee projects nyingi sana tunafeli
 
Pamoja na kuwa sina haja ya kubishana nawe Synthesizer ila Sheria ya Takwimu haikatazi kuksoa takwimu za NBS! Wala haikatazi kuchukua takwimu kwa matumizi ya taasisi au mtu binafsi! Ni kawaida wadau kukosoa kwa data takwimu rasmi kama 10 fundamental principle of official statistics. Tatizo ni watu wankurupuka na kutangaza takwimu zisizo na uhalisia kwa kutumia sample ambayo si representative of the population.
Vitu vingine kuvitetea ni UJINGA sharia inakataza kuhoji kwamaana kwamba watawala wakioa taarifa yao mwananchi huruhusiwi kudadisi unachitakiwa ni kupiga makofi ya shangwe tu! Unataka kuniambia hiyo taasisi haikuisoma hiyo sheria kubalini Nchi hii mnaipeleka kuzimu
 
Hayo yote yanatokana na yule mfalme wa kupenda kuona anasifiwa tu kila leo.
 
Nchi za Africa zinakufa sababu yakuwa na watu sampuli yako ndugu
Inategemea unazikosoaje! Kama ni kupayuka bila uhakika kama mpuuzi Zito hapo imekula kwako, lakini nina uhakika na kaulize NBS watakueleza kuwa ni mara nyingi tumezikosoa data zao nao wakarekebisha si kwa kutafuta sifa kama afanyavyo Zito
 
Tanzania imeondolewa katika mradi wa kimataifa unaohusu mambo ya nishaji endelevu (sustainable energy management) sababu ikiwa ni matatizo ambayo wafadhiri wa mradi wanaona watapambana nayo kutokana na sheria ya Tanzania ya takwimu.

Mradi huo unahusu pia kuzifanyia upembuzi taarifa na takwimu zinazotolewa na serikali nishai, na pale zinapoonekana zina makosa kutumia njia nyingine zutakazoonyesha nini kinapaswa kuwa kweli (interpolation/extrapolation methods). Wafadhiri wa mradi huo walielezwa kwamba sheria ya Tanzania kuhusu takwimu haitawaruhusu kutoa maoni mbadala juu ya takwimu za Tanzania, hata kama zinaonekana kuwa hazisemi kweli.

Zaidi ya hilo, wataalamu hao walikabiliana na tatizo la Tanzania kuhudhuria mikutano na semina za mradi huo pale ambapo zilifanyika nje ya Tanzania, kutokana na ugumu wa Watanzania kupata ruhusa ya kutoka nje ya nchi.

Hatimaye wafadhiri wa mradi huo, baada ya majadiliano na wahusika wa mradi upande wa Tanzania, waliamua kuiondoa Tanzania kwenye huo mradi.

NB: Siwezi kuweka source kwa kuogopa kuichongea hiyo taasisi ya kimataifa na watu walio kwenye wizara walioridhia Tanzania kuondolewa kwenye huo mradi.
Wa TZ tembeeni kifua mberee huku mkiwa mmevua mashati.
Tuko kwenye raiti traki.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Mkuu huu ni uhaini hshahaha
 
Nadhani siyo kuchongea. Ni kweli tupu. Sheria zingine zilitungwa bila kushirikisha wadau, yaani hapakuwa na ignorance of corporate veil. Hilo ni tatizo ambalo litatusumbua sana. Lingine la safari ni kweli, kibali mtu unatakiwa kuomba 14 days kabla ya safari, na mara nyingi safari huwa ghafla, ingawa kuna dharula na inafanya kazi kwa masharti
Naona akili zimekurudia kwa sasa
 
Inategemea unazikosoaje! Kama ni kupayuka bila uhakika kama mpuuzi Zito hapo imekula kwako, lakini nina uhakika na kaulize NBS watakueleza kuwa ni mara nyingi tumezikosoa data zao nao wakarekebisha si kwa kutafuta sifa kama afanyavyo Zito
Nimegundua wewe ni Ngumbaru wa hii sheria
 
Back
Top Bottom