Tanzania yaongoza Africa kwa kuondoa umasikini

Tanzania yaongoza Africa kwa kuondoa umasikini

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Taarifa kutoka World Bank inaonesha Tanzania ndio nchi kusini mwa Sahara inayopiga hatua kubwa za kimaendeleo katika kuondoa umasikini kwa wananchi wake.

20190928_193538png.png
 
Kwanyinyi msio ijua Kenya ndiyo mnatishwa na makelele yao wakenya ni mafukara wa kutupwa magorofa ya Kenya yasikutishe chini ya hayo magorofa kuna mazombi yana ishi
Kwa hiyo unadhani siwajui hao nyang'au sio? Duh.
 
Akili za CCM hovyo sana.Yaani mnatutambia kuongoza kwenye list ya LDCs? Shithole
 
Back
Top Bottom