Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini yafikia 74%

Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini yafikia 74%

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,111
Reaction score
46,625
Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini, yaipiku Nigeria iliyokua kinara

Sasa hivi Tanzania imefikia 74% katika kuunganisha umeme vijiji, Tanzania inategeme kufikia 95% ifikapo June 2022, na kuifanya nchi ya sita Afrika kufikia ""Universal Access" na ya kwanza katika ukanda wa Afrika mashariki na kati na nchi za pembe ya Afrika.
 
Naona maeneo fulani wamesimika nguzo wiki mbili sasa hawajarudi kuweka nyaya!
 
Back
Top Bottom