Ha ha ha ha!Mzee Mwinyi kwakweli siwezi msahau,aliwahi kusema "Uchumi mnao lakini mmeukalia"Mbaya zaidi, ni nchi inaongoza kwa rasilimali kuliko zote EA, ila rais akiulizwa kwa nini nchi yetu ni masikini anakuwa hana jibu....
he Global Monitoring Report 2013 shows that Kenya, whose economy is much larger than that of Uganda, has more poor people.This years poverty level scoring was based on the number of people living below $1.25 (about sh3,172) a day unlike previous studies, which considered $1 (about sh2,537).Consequently, Uganda recorded a success story in the region with 38.01% poverty level compared to Kenyas 43.37%.Rwanda comes third with a poverty head count of 63.1%. Poverty levels are highest in Tanzania and Burundi at 67.87% and 81.32% respectively.Uganda has fewest poor people in E.A. - reportRipoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.
Stroke, unatumia vigezo gani kupima umasikini wa nchi na nchi? Ardhi Vs idadi ya watu? Kipimo hicho kinawezekana ikiwa tu mmetumia ardhi yenu vizuri, je Tanzania hilo lipo? Vipaumbele vyenu kama taifa ni nini? Siasa za maji taka au?
hilo siyo level yangu ni swali la kito toto sana find the form two atakujibu kwa nini nchi hii ni maskini, or why mkapa, mwinyi and nyerere hawakuweza kuondoa umaskini....2015 tutawaonyesha kwa vitendo, magamba na mafisadi hamtoamini macho yenu
Ripoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.
Unachosema ni sawa, (simple logic). Lakini tunakusanya na kutumia vyema kadiri ya mahitaji yetu muhimu? Je, nini vipaumbele vyetu kama taifa? Na je matumizi yetu yanazingatia vipaumbele?Jamaa amesahau kwamba source ya fedha za serikali zinatoka kwa raia wake kutokana na shughuli za kiuchumi wanazofanya plus rasilimali mbalimbali zinazopatikana ktk nchi husika (hii ni kwa sie ambao ni maamuma wa masuala wa kiuchumi naweza kusema hivyo). Hivyo basi hata kama nchi ina watu laki moja na nyingine ina watu milion 10 bado tunapokuja kwenye issue ya umaskini huwezi sema eti nchi hii ina watu wachache hivyo wana fursa nzuri ya utajiri wakati ukweli source za fedha ni hao hao raia wako na shughuli zao in relation na huduma unayotoa kwa hao wananchi. Kwa mtaji huo sie tulitakiwa tuwe juu kiuchumi kuliko Nigeria au China maana tupo wachache kuliko wao
Hapo ni simple logic tu MAKUSANYO YAKO gawanya na IDADI YA WATU WAKO hivyo kama mpo milion 40 basi angalia makusanyo yako gawanya na idadi ya watu wako the same kama mpo milioni moja, hivyo ratio itaonyesha na tusisingizie tupo wengi
Unachosema ni sawa, (simple logic). Lakini tunakusanya na kutumia vyema kadiri ya mahitaji yetu muhimu? Je, nini vipaumbele vyetu kama taifa? Na je matumizi yetu yanazingatia vipaumbele?
Mfano katika bajeti karibu kila wizara mwaka huu wa fedha 2013/2014, Jumla ya fedha inayotengwa kwa ajili ya Mishahara ya watumishi na MAENDELEO ni ni chini ya fedha inayotengwa kwa ajili ya matumizi mengine (kwa maana nyingine fedha inayotengwa kwa ajili ya matumizi mengineyo ni kubwa kuliko bajeti ya mishahra + Maendeleo), unategemea kuendelea kweli??? Utaendelea vipi wakati unatumia zaidi kuliko kuwekeza kwenyemaendeleo?