Tanzania yaongoza kwa umaskini Afrika Mashariki

Tanzania yaongoza kwa umaskini Afrika Mashariki

Ni Chama kilekile. Hakina jipya labda wizi tu kuanzia ikulu mpaka mwenyekiti wa mtaa wa CCM.
 
Ripoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.
he Global Monitoring Report 2013 shows that Kenya, whose economy is much larger than that of Uganda, has more poor people.This year’s poverty level scoring was based on the number of people living below $1.25 (about sh3,172) a day unlike previous studies, which considered $1 (about sh2,537).Consequently, Uganda recorded a success story in the region with 38.01% poverty level compared to Kenya’s 43.37%.Rwanda comes third with a poverty head count of 63.1%. Poverty levels are highest in Tanzania and Burundi at 67.87% and 81.32% respectively.Uganda has fewest poor people in E.A. - report
 
Stroke, unatumia vigezo gani kupima umasikini wa nchi na nchi? Ardhi Vs idadi ya watu? Kipimo hicho kinawezekana ikiwa tu mmetumia ardhi yenu vizuri, je Tanzania hilo lipo? Vipaumbele vyenu kama taifa ni nini? Siasa za maji taka au?

Jamaa amesahau kwamba source ya fedha za serikali zinatoka kwa raia wake kutokana na shughuli za kiuchumi wanazofanya plus rasilimali mbalimbali zinazopatikana ktk nchi husika (hii ni kwa sie ambao ni maamuma wa masuala wa kiuchumi naweza kusema hivyo). Hivyo basi hata kama nchi ina watu laki moja na nyingine ina watu milion 10 bado tunapokuja kwenye issue ya umaskini huwezi sema eti nchi hii ina watu wachache hivyo wana fursa nzuri ya utajiri wakati ukweli source za fedha ni hao hao raia wako na shughuli zao in relation na huduma unayotoa kwa hao wananchi. Kwa mtaji huo sie tulitakiwa tuwe juu kiuchumi kuliko Nigeria au China maana tupo wachache kuliko wao

Hapo ni simple logic tu MAKUSANYO YAKO gawanya na IDADI YA WATU WAKO hivyo kama mpo milion 40 basi angalia makusanyo yako gawanya na idadi ya watu wako the same kama mpo milioni moja, hivyo ratio itaonyesha na tusisingizie tupo wengi
 
70% ya nini mjomba? Tunataka banda hapo.. Ifike 81% afu wenyewe watatusoma vzuri.
 
hilo siyo level yangu ni swali la kito toto sana find the form two atakujibu kwa nini nchi hii ni maskini, or why mkapa, mwinyi and nyerere hawakuweza kuondoa umaskini....2015 tutawaonyesha kwa vitendo, magamba na mafisadi hamtoamini macho yenu

hiyo ni kweli tupu 100%
 
Ndio maana tunataka CHADEMA ichukue hii nchi ili tuondokana na huu upuuz...
 
Kwa kawaida kiongozi anatakiwa kuwa na kauli thabiti na msimamo katika ayasemayo.
Uchumi unapaa ni kauli iliyotolewa na Waziri Mkuu Edward Lowassa aliyoitoa kabla na wakati wa kufunga kikao cha Bunge la bajeti, la mwaka wa fedha 2007/2008, mjini Dodoma.

Waziri Mkuu Lowassa, akisoma hotuba yake ya kufunga kikao cha Bunge, alilalamika kuwa kuna baadhi ya waandishi wa habari, wachora katuni na wanaharakati wamekuwa wakipinga hilo.

Alisisitiza tena kuwa uchumi unapaa, kutoa vigezo na kuwataka wanaopinga hoja hiyo pia kuleta vigezo vya kupingana na hali hiyo.

Imeopolewa: katabazihappy.blogspot.com

Link. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/4880-uchumi-unapaa-au-tunajiliza-kisiasa.html

2. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/158639-naleta-uchumi-unaopaa-jakaya-mrisho-kikwete.html

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema uchumi wa Tanzania utaendelea kukua maradufu kutokana na mifumo bora ya uwekezaji iliyopo, hali itakayosaidia pia kushindana katika soko la Afrika Mashariki. Pinda: Uchumi wa Tanzania utakua maradufu

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, uchumi wa nchi hiyo utaendelea kukua maradufu ...Licha ya Mizengo Pinda kuelezea mwenendo wa ukuaji uchumi nchini Tanzania, lakini kupanda kwa gharama za maisha kunaendelea kuripotiwa katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki na kuyafanya maisha ya Mtanzania wa kawaida kuwa magumu.
Pinda: Uchumi wa Tanzania unakua maradufu

LICHA ya viongozi wa serikali kujivunia ukuaji wa uchumi kila mara, lakini Waziri Mkuu Mizengo Pinda amekiri kuwa ukuaji huo hauendani na uhalisia wa maisha ya Mtanzania.
Pinda akiri uchumi hauendani na uhalisia

Profesa Lipumba: Uchumi Tanzania unakua kwenye makaratasi
Profesa Lipumba: Uchumi Tanzania unakua kwenye makaratasi - Makala - mwananchi.co.tz
 
Ukiwaambia magamba haya watadai CHADEMA inahusika kusema habari hizi za uongo ili kusababisha umwagaji nchini. DHAIFU na Serikali yake tangu waingie madarakani wanachapa kazi ile mbaya na mafanikio makubwa yanaonekana nchini. Wakati ukweli unaonyesha kila sekta nchini inazidi kuzorota mwaka hadi mwaka.

Ripoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.
 
Jamaa amesahau kwamba source ya fedha za serikali zinatoka kwa raia wake kutokana na shughuli za kiuchumi wanazofanya plus rasilimali mbalimbali zinazopatikana ktk nchi husika (hii ni kwa sie ambao ni maamuma wa masuala wa kiuchumi naweza kusema hivyo). Hivyo basi hata kama nchi ina watu laki moja na nyingine ina watu milion 10 bado tunapokuja kwenye issue ya umaskini huwezi sema eti nchi hii ina watu wachache hivyo wana fursa nzuri ya utajiri wakati ukweli source za fedha ni hao hao raia wako na shughuli zao in relation na huduma unayotoa kwa hao wananchi. Kwa mtaji huo sie tulitakiwa tuwe juu kiuchumi kuliko Nigeria au China maana tupo wachache kuliko wao

Hapo ni simple logic tu MAKUSANYO YAKO gawanya na IDADI YA WATU WAKO hivyo kama mpo milion 40 basi angalia makusanyo yako gawanya na idadi ya watu wako the same kama mpo milioni moja, hivyo ratio itaonyesha na tusisingizie tupo wengi
Unachosema ni sawa, (simple logic). Lakini tunakusanya na kutumia vyema kadiri ya mahitaji yetu muhimu? Je, nini vipaumbele vyetu kama taifa? Na je matumizi yetu yanazingatia vipaumbele?

Mfano katika bajeti karibu kila wizara mwaka huu wa fedha 2013/2014, Jumla ya fedha inayotengwa kwa ajili ya Mishahara ya watumishi na MAENDELEO ni ni chini ya fedha inayotengwa kwa ajili ya matumizi mengine (kwa maana nyingine fedha inayotengwa kwa ajili ya matumizi mengineyo ni kubwa kuliko bajeti ya mishahra + Maendeleo), unategemea kuendelea kweli??? Utaendelea vipi wakati unatumia zaidi kuliko kuwekeza kwenyemaendeleo?
 
In the words of nursery song, Watanzania if your happy and you know it clap your hands
[clap your hands]

if your happy happy anymore
clap your hands
[clap your hands];(
Mubarikiwe wandugu
 
Unachosema ni sawa, (simple logic). Lakini tunakusanya na kutumia vyema kadiri ya mahitaji yetu muhimu? Je, nini vipaumbele vyetu kama taifa? Na je matumizi yetu yanazingatia vipaumbele?

Mfano katika bajeti karibu kila wizara mwaka huu wa fedha 2013/2014, Jumla ya fedha inayotengwa kwa ajili ya Mishahara ya watumishi na MAENDELEO ni ni chini ya fedha inayotengwa kwa ajili ya matumizi mengine (kwa maana nyingine fedha inayotengwa kwa ajili ya matumizi mengineyo ni kubwa kuliko bajeti ya mishahra + Maendeleo), unategemea kuendelea kweli??? Utaendelea vipi wakati unatumia zaidi kuliko kuwekeza kwenyemaendeleo?

Nimekupata mkuu maana JF tunapata practical experience ya uchumi si kama ule wa theory
 
i aint clappin simplemind,its so disguised man,nchi tajiri kwa rasilimali,masikini wa mipango,utashi na akili.
 
Back
Top Bottom