Asante sana WB kwa research, taarifa hii ingetolewa na CDM wangesema walisema nchi haitatawalika. Hivi jamani tujiulize katika nchi yenye rasilimali nyingi kama TZ halafu wananchi wake zaidi ya 68% kuishi katika umasikini wa kutisha, chanzo chake ni nini kama sio kukosa UONGOZI BORA. Tutake tusike hali hii itaondoka tu kama wananchi watachukua hatua ya kuwaondoa hawa viongozi waliotufikisha hapa.