Tanzania yaongoza kwa umaskini Afrika Mashariki

Asante sana WB kwa research, taarifa hii ingetolewa na CDM wangesema walisema nchi haitatawalika. Hivi jamani tujiulize katika nchi yenye rasilimali nyingi kama TZ halafu wananchi wake zaidi ya 68% kuishi katika umasikini wa kutisha, chanzo chake ni nini kama sio kukosa UONGOZI BORA. Tutake tusike hali hii itaondoka tu kama wananchi watachukua hatua ya kuwaondoa hawa viongozi waliotufikisha hapa.
 
Ripoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.

Mkuu hebu tupe source ya hii habari. Ni report ipi hiyo. Tupe link ya jinsi ya kuipata ili tujisomee wenyewe!!!!

Tiba
 
Ripoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.

Good news!!! Human and Development Report ya 2011 ilikuwa ni 69.5%!!! Hakika eti ndiyo maisha bora kwa kil amtanzania wakati zaidi ya nusu wanaishi chini ya Dola 1.25 a day? Wawekezaji wa mafuta, gasi, tunawauzia mbuga za wanyama wanafukuza wenyeji kwa kuwachomea nyumba, mifugo, mashamba, mazao hapo unaongeza au kupunguza umaskini? Tafakari!!
Kwenye madini na gas usipime!! Weenyeji na wazalendo wanaitwa wavamizi!!! Hakika tukifa tutaenda kuzimu/jehanamu.
 
hili litafumbiwa macho hata maelezo hayatotolewa kana kwamba ripoti haikufika kwa viongozi wa serikali
 
mijitu mingine bwana inatia hasira sana, wewe unataka kuufananisha uchumi wa watu milioni zaidi ya 40 na 30?? kijiografia pamoja na idad iya watu Tanzania imezizidi hizo unazozitaja, lakini ukiangalia chumi za nchi za afrika mashariki, Tanzania bado ina nguvu sana, ukilinganisha pia hali ya mtu mmoja mmoja kiuchumi kwa nchi hizo bado utakuta wananchi wa Tanzania wanajiweza kuliko wa nchi tajwa. Tanzania, unakuta mtu ana kipato kidogo lakini ana ardhi, kenya matajiri wachache wasio nacho kabisa ni wengi, Uganda pia hali mbaya zaidi kuliko mahesabu ya vitabuni

Wewe ndo kiazi kweli! Mbona china sio masikini mpaka mmewauzia nchi? Sijui ulisoma chuo gani wewe? Lazima kitakua chuo chauongozi cha ccm.

Tanzania inanguvu sana kwenye nn? Kama nikuteka raia, kuwatesa, kung'oa meno kucha na kutoboa macho sawa. Nchi isiyo na kiwanda unategemea iwe nanguvu?

Serekali imeacha kutekeleza ilani imebaki inakimbizana na chadena.

Raisi, kwanini nchi yako ni maskini hajui, lakini anataka kuwa raisi! Uwe raisi ukafanye nn hajui!
 
Akiambiwa nchi imemshinda anakataa. Shirika landege limekufa, reli kwisha kazi. Chaajabu anaenda kukopa hela china kujenga bandari. Sasa hyo mizigo ataisafirishaje bila reli? Hizo hela angefufua reli na shirika landege ingeingia akilini.
 
Tunawashukuru kwa takwimu zao,atleast zinasaidia kuwashtua viongozi wetu japokuwa wamelala lkn yupo atakayekuja kushtuka na kuzirekebisha.
 
Ripoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.

Yule kada ya magamba pale ud Dr Benson Bana hizi za hivi redet huwa hawafanyi? maana ni mbishi hata hii anaweza kataa walio ud mkikutana naye muulizeni
 
Ripoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.

Mbona pdf haionekani?
 
Umasikini ni nini? Maana tusije kuambiwa umasikini ni kutokuwa na akaunti ya benki wakati tunaongoza kwa mamilionea wanaoweka hela kwenye magodoro!

Hii ripoti iko wapi?
 
Akiambiwa nchi imemshinda anakataa. Shirika landege limekufa, reli kwisha kazi. Chaajabu anaenda kukopa hela china kujenga bandari. Sasa hyo mizigo ataisafirishaje bila reli? Hizo hela angefufua reli na shirika landege ingeingia akilini.

Utaki malori ya rizimoja na washikadau wengine yapate dili ktk hiyo bandari ya nyumbani? Roads kajenga malori yapite,unatka ajenge reli kwan Riz na wadau wengine wana gari moshi(train).
 
Ukimuuliza "mkuu wa kaya" nini mantiki ya ripoti hii kwetu anasema ".....haka ni kaupepo ka siasa tu, tulieni katapita". And life goes on!
 
chitambikwa maendeleo hayo anayajua KINANA Katibu Mkuu wa CCM bigwa wa ufisadi kila sehemu yeye ana kampuni ya wizi wa mali za Watanzania.Tuanze na hii Falcon laundry aliibia jeshi mashine za msaada za kufua kwenye hosptali za jeshi, hivi sasa kampuni yake ya WIA ya mtandao wa Internet ameibia na kufisadi Bandari mabilion ya fedha, Kampuni yake ya TALL inahusika kusafirisha na kutunza container za meno ya tembo ya mabilion ya shilingi na Emirates Sshipping Company ambayo yeye ni wakala wake Tanzania ndiyo inasafirisha macontainer ya meno ya tembo kwenda China na HongKong.Sheria ya Wakala na Tra inakataza mmiliki wa Wakala wa MELI kuwa na ICD , lakini kINANA ANA MILIKI ICD na bado ni wakala wa EML. Tanzania ccm wameiozesha yote kwa tamaa za utJIRI NA UIFSADI.kINANA KELELE ANAZOPIGA ZOTE DHIDI YA CHADEMA ANAJUA SIYO MSAFI NA 2015 MAJI YA SHENGO LAZIMA AFANYE KAZI USIKU NA MCHANA KULINDA MASLAHI YAKE NA MAFISADI WENZAKE. NOTE THIS

Natamani huyo muuwaji wa tembo angesoma hapa na kujibu hoja hii
 
Mbaya zaidi, ni nchi inaongoza kwa rasilimali kuliko zote EA, ila rais akiulizwa kwa nini nchi yetu ni masikini anakuwa hana jibu....

Alafu ni nchi inayoongoza kwa kuwa na viongozi wanaojitutumua mbele ya wananchi kwa kuwaambia hali ya maisha ni nzuri wakati kiuhalisia hali sivyo
 
wang'oa kucha wakipita humu usishangae wakakutafuta make washasema liwalo na liwe ..mke wako weka mbali na Chemba.
 
Weka link kila mtu asome mwenyewe

Ripoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.
 
Ripoti ya benki ya dunia imeonyesha kuwa Tanzania pamoja na uwepo wa amani na kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa ina idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa umaskiini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi ya wanaoishi kwa umaskini nchini uganda ni asilimia 38, Kenya ni asilimi a 43, Rwanda ni asilimia 63 na Tanzani a ni asilimia 68. Kwa mujibu wa ripiti hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara liko nyuma katika kufikia malengo ya mileniia.

nafikiri kuna kitu unapotosha hapa, inaongoza kwa umaskini??( poorest country) au inaongoza kuwa na watu maskini wengi? ( poor people) kwasababu sidhani kama Tanzania ni maskini ila nina uhakika sisi kama wananchi wengi tu maskini
 
Wanaokinzana na ukweli huu hawajui aibu inayotukabili Watanzania kwa ujumal wetu ndani ya jamii ya Watu wa Afrika Mashariki.Nawashauri sisi kama Watanzania kwa ujumla wetu tuichukue hii kama changamoto ya kutufanya tuchukue hatua za kuondokana na aibu hii.Kwa mfano sisi kama Taifa hatuna sababu za msingi kuelezea wenzetu ni kwa nini Shule zetu hazina Madawati.
 
mijitu mingine bwana inatia hasira sana, wewe unataka kuufananisha uchumi wa watu milioni zaidi ya 40 na 30?? kijiografia pamoja na idad iya watu Tanzania imezizidi hizo unazozitaja, lakini ukiangalia chumi za nchi za afrika mashariki, Tanzania bado ina nguvu sana, ukilinganisha pia hali ya mtu mmoja mmoja kiuchumi kwa nchi hizo bado utakuta wananchi wa Tanzania wanajiweza kuliko wa nchi tajwa. Tanzania, unakuta mtu ana kipato kidogo lakini ana ardhi, kenya matajiri wachache wasio nacho kabisa ni wengi, Uganda pia hali mbaya zaidi kuliko mahesabu ya vitabuni

Stroke, unatumia vigezo gani kupima umasikini wa nchi na nchi? Ardhi Vs idadi ya watu? Kipimo hicho kinawezekana ikiwa tu mmetumia ardhi yenu vizuri, je Tanzania hilo lipo? Vipaumbele vyenu kama taifa ni nini? Siasa za maji taka au?
 
Back
Top Bottom