Tanzania yapinga ripoti ya UN ya Tume ya Haki za Binadamu

palamagamba jibu hoja za UN,acha porojo,tunawasomi wa majalalani kweli,umwekewa hoja ijibu,Tueleze azory gwandi mlimpeka wapi,mmemua au yuko hai
 
Uliishi tanzania blue utaambiwa ni kijani huku unaona kwa macho yako,na nyeusi utaambiwa ni nyeupe kwa macho unaona na ukiwa mjinga utajiamisha hivyo,sababu Kuna punguani wengi wanaamini hivyo kea ubora wa matumbo yao au kwa kujifanya wajinga Ili nawe uwe mjinga wa muda huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…