Tanzania yapitisha Tani 455,000 za mizigo Mombasa mwaka 2024; Economic Intelligence iko wapi?

View attachment 3386839

Pamoja na kuwa na bandari 3; Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kwa mujibu wa kijarida cha CHANZO, kwa mwaka 2024 Watnzania wamepitisha Tani 455,000 za mizigo kwenye bandari ya Mombasa.

Je tunakosea wapi kama Taifa?
Unasahsu mikoa ya tanga kilimanjaro na arushs singida ni rahisi na gharsma ndogo kutumia bandari ya mombasa
 
View attachment 3386839

Pamoja na kuwa na bandari 3; Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kwa mujibu wa kijarida cha CHANZO, kwa mwaka 2024 Watnzania wamepitisha Tani 455,000 za mizigo kwenye bandari ya Mombasa.

Je tunakosea wapi kama Taifa?
Kwanza huwezi lazimisha mtu sehemu ya Kupitisha lakini pia bila Sgr ya Tanga-Musoma via Arusha na Tanga-Isaka mizigo ya Mikoa ya kaskazini itaendelea Kupitisha Mombasa.
 
ngoja tumuite jasusi atufafanulie....

1751124918111.png
 
Niliwahi kujiiuliza,

Inakuaje mtu anaacha vitenge na Nguo za kisasa kariakoo.

Kisha Analipa nauli almost laki 3 (go& return, Bado gharama za muda na chakula&malazi njian,)

Na Kwenda mtukula (boda ya Uganda) kufuata bidhaa zile zile alizoziacha kariakoo.

Na akifika dar anauza Bei zile zile wanazouza wenzake walionunua kariakoo.

NIKAHISI ANAJITIA HASARA TU.
 
Ngona kwanza kabla sijacomment nikasome kile kitabu cha

The Confessions of The Economic Hitmen"
Kitabu ambacho nilitamani akisome Magufuli (RIP) baada ya kuapishwa, ila it was too late, hitman wakafanya yao, ujinga wao ni kwamba wanatumia mbinu zile zile za toka enzi
 
Niliwahi kujiiuliza,

Inakuaje mtu anaacha vitenge na Nguo za kisasa kariakoo.

Kisha Analipa nauli almost laki 3 (go& return, Bado gharama za muda na chakula&malazi njian,)

Na Kwenda mtukula (boda ya Uganda) kufuata bidhaa zile zile alizoziacha kariakoo.

Na akifika dar anauza Bei zile zile wanazouza wenzake walionunua kariakoo.

NIKAHISI ANAJITIA HASARA TU.
Aione Tumbiri, Kafulila!
 
Samia kutuharibia Nchi.Ameuza bandari zetu zote Kwa wajomba wake waarabu Kwa kutudanganya itakuwa fanisi na kuvutia watu wengi kumbe uongo mtupu.Huyu hakustahili kabisa kugombea Tena kuwa kiongozi maana atauza Kila kitu Kwa wajomba zake
Leta risiti ya kuuzia nchi tuione hapa. Mabwege mmekalia kalalamika tu, fursa zinapita kazi yenu kuchonga mdomo. Mkipewa kazi kwenye mashirika ya umma mnaiba na mashirika yanakufa. Kuyakodisha kwa wawekezaji siyo kuyauza. Angalia TBL, TCC, Twiga Cement, NMB. Kama Mkapa angewasikia pimbi kama nyinyi miaka 1995-2005 leo hii tusingekuwa na mashirika haya hata moja.

Samia amekabidhi usimamizi wa TPA kwa DP WORLD na Mwendokasi nao anatoa kwa kampuni ya ESG kutoka UAE. Watapiga kazi mpaka mshangae
 
Ninyi chawa wa bibi mnatuharibia Nchi kwa kumdanganya huyo chawa wenu mkuu
 
View attachment 3386839

Pamoja na kuwa na bandari 3; Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kwa mujibu wa kijarida cha CHANZO, kwa mwaka 2024 Watnzania wamepitisha Tani 455,000 za mizigo kwenye bandari ya Mombasa.

Je tunakosea wapi kama Taifa?
Kwani hujui kazi yao nikuibana Chadema..na kuteka wananchi wake..hawezi kuwa na muda wa uchumi wa inchi ..wako bize na maslahi ya chama CCM
 
Ninyi chawa wa bibi mnatuharibia Nchi kwa kumdanganya huyo chawa wenu mkuu
Una nini unachojuwa kuhusu maendeleo, uchumi na fedha? Nisijekuwa nabishana na mbumbumbu
 
Wew ni mwana CCM kindakindaki, rejea comments zako katika nyuzi mbalimbali, unashaangaje Tanzania kupitisha mizigo Mombasa?
Linganisha Kodi na gharama nyingine Tanzania na Kenya.
 
Kwani ukiwa CCM ndiyo unakatazwa kukosoa Serikali au kutoa maoni mbadala?
 
Back
Top Bottom