Unasahsu mikoa ya tanga kilimanjaro na arushs singida ni rahisi na gharsma ndogo kutumia bandari ya mombasaView attachment 3386839
Pamoja na kuwa na bandari 3; Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kwa mujibu wa kijarida cha CHANZO, kwa mwaka 2024 Watnzania wamepitisha Tani 455,000 za mizigo kwenye bandari ya Mombasa.
Je tunakosea wapi kama Taifa?
Kwanza huwezi lazimisha mtu sehemu ya Kupitisha lakini pia bila Sgr ya Tanga-Musoma via Arusha na Tanga-Isaka mizigo ya Mikoa ya kaskazini itaendelea Kupitisha Mombasa.View attachment 3386839
Pamoja na kuwa na bandari 3; Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kwa mujibu wa kijarida cha CHANZO, kwa mwaka 2024 Watnzania wamepitisha Tani 455,000 za mizigo kwenye bandari ya Mombasa.
Je tunakosea wapi kama Taifa?
Kitabu ambacho nilitamani akisome Magufuli (RIP) baada ya kuapishwa, ila it was too late, hitman wakafanya yao, ujinga wao ni kwamba wanatumia mbinu zile zile za toka enziNgona kwanza kabla sijacomment nikasome kile kitabu cha
The Confessions of The Economic Hitmen"
Aione Tumbiri, Kafulila!Niliwahi kujiiuliza,
Inakuaje mtu anaacha vitenge na Nguo za kisasa kariakoo.
Kisha Analipa nauli almost laki 3 (go& return, Bado gharama za muda na chakula&malazi njian,)
Na Kwenda mtukula (boda ya Uganda) kufuata bidhaa zile zile alizoziacha kariakoo.
Na akifika dar anauza Bei zile zile wanazouza wenzake walionunua kariakoo.
NIKAHISI ANAJITIA HASARA TU.
Ujasusi wa kiuchumi na kidola
Akiwa Shambani mwake Ngudu
Ndiyo Kilichofanyika Sasa Maji Tunaita MmaaUza nyumba, tukapange 😁
Leta risiti ya kuuzia nchi tuione hapa. Mabwege mmekalia kalalamika tu, fursa zinapita kazi yenu kuchonga mdomo. Mkipewa kazi kwenye mashirika ya umma mnaiba na mashirika yanakufa. Kuyakodisha kwa wawekezaji siyo kuyauza. Angalia TBL, TCC, Twiga Cement, NMB. Kama Mkapa angewasikia pimbi kama nyinyi miaka 1995-2005 leo hii tusingekuwa na mashirika haya hata moja.Samia kutuharibia Nchi.Ameuza bandari zetu zote Kwa wajomba wake waarabu Kwa kutudanganya itakuwa fanisi na kuvutia watu wengi kumbe uongo mtupu.Huyu hakustahili kabisa kugombea Tena kuwa kiongozi maana atauza Kila kitu Kwa wajomba zake
Ninyi chawa wa bibi mnatuharibia Nchi kwa kumdanganya huyo chawa wenu mkuuLeta risiti ya kuuzia nchi tuione hapa. Mabwege mmekalia kalalamika tu, fursa zinapita kazi yenu kuchonga mdomo. Mkipewa kazi kwenye mashirika ya umma mnaiba na mashirika yanakufa. Kuyakodisha kwa wawekezaji siyo kuyauza. Angalia TBL, TCC, Twiga Cement, NMB. Kama Mkapa angewasikia pimbi kama nyinyi miaka 1995-2005 leo hii tusingekuwa na mashirika haya hata moja.
Samia amekabidhi usimamizi wa TPA kwa DP WORLD na Mwendokasi nao anatoa kwa kampuni ya ESG kutoka UAE. Watapiga kazi mpaka mshangae
Kwani hujui kazi yao nikuibana Chadema..na kuteka wananchi wake..hawezi kuwa na muda wa uchumi wa inchi ..wako bize na maslahi ya chama CCMView attachment 3386839
Pamoja na kuwa na bandari 3; Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kwa mujibu wa kijarida cha CHANZO, kwa mwaka 2024 Watnzania wamepitisha Tani 455,000 za mizigo kwenye bandari ya Mombasa.
Je tunakosea wapi kama Taifa?
Wew ni mwana CCM kindakindaki, rejea comments zako katika nyuzi mbalimbali, unashaangaje Tanzania kupitisha mizigo Mombasa?Una nini unachojuwa kuhusu maendeleo, uchumi na fedha? Nisijekuwa nabishana na mbumbumbu
Kwani ukiwa CCM ndiyo unakatazwa kukosoa Serikali au kutoa maoni mbadala?Wew ni mwana CCM kindakindaki, rejea comments zako katika nyuzi mbalimbali, unashaangaje Tanzania kupitisha mizigo Mombasa?
Linganisha Kodi na gharama nyingine Tanzania na Kenya.