#COVID19 Tanzania yapokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm

#COVID19 Tanzania yapokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China

Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa COVAX Facility, ikiwa ni sehemu ya dozi 1,065,600

 
Kwani zile J&J zimeisha?!! Kuna mahali nilisoma wamechanjwa watu 300,000 na zilikuja 1m.
 
Kwani mibavicha na nyie hamchanji?

Si mlikuwa mnamtukana Magu kila siku kwamba kwanini haleti chanjo?

Ina maana mibavicha hamfiki hata nusu milioni wa kwenda kushambulia hizo chanjo chap?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom