#COVID19 Tanzania yapokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm

#COVID19 Tanzania yapokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm

Hawa wachina kila kitu feki ukiona Saa feki,jiko feki ni wachina, na chanjo tena?
Tangu nikue husikia mgonjwa kapelekwa India na si China.
Laana itakuwa juu yao wanaorisk uhai wa watu kwa sababu zao binafsi.
Hivi hakunaga tofauti ya kitu feki na kitu kilicho chini ya kiwango?
 
China hawa amini kwenye research, wao wana kula mitishamba na kutengeneza michumachuma kutisha dunia na kufanya military parade za kijinga bila kupigana vita
Kwahiyo mitishamba haifanyiwi research? hivi unajua kuna dawa za kizungu zimetengenezwa kwa kutumia na hiyo mitishamba?
 
Kwa hiyo chanjo laki tano na ushee zitatosha wadanganyika wote na kutokomeza uviko hapa bongolala, kweli beberu anajua kushika masikio ngozi nyeusi, kifupi ngozi nyeusi ni kima aliyechangamka.......
Kama mmetumia muda wote ule hadi kufikisha chanjo laki tatu tu ndio unaona hizo laki tano ni ndogo? ni nyingi hizo.
 
Kwahiyo mitishamba haifanyiwi research? hivi unajua kuna dawa za kizungu zimetengenezwa kwa kutumia na hiyo mitishamba?
Najua bro. Ata dawa nzuri za malaria kama artermisin zime gunduliwa china. Ila ila investment ya china kwenye innovation ni ndogo sana ndio maana wana copy na kutengeneza vitu fake
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China

Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa COVAX Facility, ikiwa ni sehemu ya dozi 1,065,600

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwani mibavicha na nyie hamchanji?

Si mlikuwa mnamtukana Magu kila siku kwamba kwanini haleti chanjo?

Ina maana mibavicha hamfiki hata nusu milioni wa kwenda kushambulia hizo chanjo chap?
Hao 400,000 waliochanja asilimia 90 ni wana CHADEMA mi CCM inalumbana kanisani tu.
 
Back
Top Bottom