Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazikubaliki, bibie.!Sijui wengine tutapokelewa vip UK, maana hizi vaccine sijui kama zinakubalika?
Yah kuna misukule kule upande wa pili ambao walipinga chanjo, na wakachoma kimyakimya.Kuna watu kwa sifa watachoma tena[emoji3][emoji3]
Kachanje .wambie wakupe kabisa container moja uwe unakula dailyAmbao tumechoma jj tunaruhusiwa kuchoma na hizi?
za kichina sichanjiSerikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China
Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa COVAX Facility, ikiwa ni sehemu ya dozi 1,065,600
Haya na nyie mliokuwa mnalalamika magufuli haleti chanjo, chanjo ndo izo zimefika mkachanje.Haya wale waliokuwa wanakataa Chanjo za Mabeberu wa Ulaya na Marekani,haya sasa mzigo wa kutoka kwa washirika wenu wa kibiashara na wajamaa wenzenu ushafika mkachanje sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂Kachanje .wambie wakupe kabisa container moja uwe unakula daily
Acha porojo Tena kimbia hata kabla ya hao bavicha waliopigania hatimae zimeletwa, uhai ni mali yako ohoooo.Kwani mibavicha na nyie hamchanji?
Si mlikuwa mnamtukana Magu kila siku kwamba kwanini haleti chanjo?
Ina maana mibavicha hamfiki hata nusu milioni wa kwenda kushambulia hizo chanjo chap?
Sijui wengine tutapokelewa vip UK, maana hizi vaccine sijui kama zinakubalika?
Hizo ni kwa ajili ya wanachama wajamaa chama cha ccm si unajua ccm wanaurafiki na chama cha kikomnist cha china. So hapo akina bashiru, mangula, shivji mzee mgaya, ndo watakuwa wa kwanza kwanza kwenda kuchoma maana hawaamini chanjo za za nchi za magharibi.Hiz za china si ndio ziliwasumbua wazanzibar waliotaka kwenda kuhiji kua hazitambuliwi kimataifa na leo zimeletwa na wamezipokea?,nchi yetu imekua damping place?,wale Mahujaj wa zanzibar iliwabidi wachanje mara nyingine ili kuruhusiwa kwrnda kuhiji
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Nyie mlikuwa mnalilia chanjo za mabeberu kumbe mlikuwa hamfiki hata milioni moja.Haya wale waliokuwa wanakataa Chanjo za Mabeberu wa Ulaya na Marekani,haya sasa mzigo wa kutoka kwa washirika wenu wa kibiashara na wajamaa wenzenu ushafika mkachanje sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinga ni bora kuliko chanjo kwa sababu kwa jinsi Bongo ilivyo unaweza kupata corona wakati ukiwa kwenye mchakato wa kupata chanjo maana hata hao wanaohimiza chanjo hawajali jinsi watu wasivyozingatia na kutojikinga na corona.Chanjo ni bora kuliko TIBA....
#TujitokezeniKuchanjwa