Rafiki am missing you so much.Sijui wengine tutapokelewa vip UK, maana hizi vaccine sijui kama zinakubalika?
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji120]Rafiki am missing you so much.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani mibavicha na nyie hamchanji?
Si mlikuwa mnamtukana Magu kila siku kwamba kwanini haleti chanjo?
Ina maana mibavicha hamfiki hata nusu milioni wa kwenda kushambulia hizo chanjo chap?
Verified vaccine ni J&J tuu,hizo za Mchina wakachome Wajamaa kama wakina Pole Pole Chakubanga na Gwajima.Sijui wengine tutapokelewa vip UK, maana hizi vaccine sijui kama zinakubalika?
Umenena Mkuu,Mama kawaletea za Mjamaa mwenzao Mchina maana za Mabeberu walizikataa.Hizi za sasa ni za wafuasi wa kibwetele, mahsusi kwa ajili yao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]akiiVerified vaccine ni J&J tuu,hizo za Mchina wakachome Wajamaa kama wakina Pole Pole Chakubanga na Gwajima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa.......!Kuna watu kwa sifa watachoma tena[emoji3][emoji3]
Vichekesho haviishi TZ.Ukikonda TZ umejitakia.Kwani zile J&J zimeisha?!! Kuna mahali nilisoma wamechanjwa watu 300,000 na zilikuja 1m.