Hivi hakunaga tofauti ya kitu feki na kitu kilicho chini ya kiwango?Hawa wachina kila kitu feki ukiona Saa feki,jiko feki ni wachina, na chanjo tena?
Tangu nikue husikia mgonjwa kapelekwa India na si China.
Laana itakuwa juu yao wanaorisk uhai wa watu kwa sababu zao binafsi.
Kwahiyo unawaambiaje WHO waliyoidhinisha hizo chanjo za wachina?za kichina sichanji
Kwahiyo mitishamba haifanyiwi research? hivi unajua kuna dawa za kizungu zimetengenezwa kwa kutumia na hiyo mitishamba?China hawa amini kwenye research, wao wana kula mitishamba na kutengeneza michumachuma kutisha dunia na kufanya military parade za kijinga bila kupigana vita
Kama mmetumia muda wote ule hadi kufikisha chanjo laki tatu tu ndio unaona hizo laki tano ni ndogo? ni nyingi hizo.Kwa hiyo chanjo laki tano na ushee zitatosha wadanganyika wote na kutokomeza uviko hapa bongolala, kweli beberu anajua kushika masikio ngozi nyeusi, kifupi ngozi nyeusi ni kima aliyechangamka.......
Wamechanja 700kKwani zile J&J zimeisha?!! Kuna mahali nilisoma wamechanjwa watu 300,000 na zilikuja 1m.
Utachomwa ya kwao huko hukoSijui wengine tutapokelewa vip UK, maana hizi vaccine sijui kama zinakubalika?
Waulize wachina.Hivi hakunaga tofauti ya kitu feki na kitu kilicho chini ya kiwango?
Najua bro. Ata dawa nzuri za malaria kama artermisin zime gunduliwa china. Ila ila investment ya china kwenye innovation ni ndogo sana ndio maana wana copy na kutengeneza vitu fakeKwahiyo mitishamba haifanyiwi research? hivi unajua kuna dawa za kizungu zimetengenezwa kwa kutumia na hiyo mitishamba?
🤣🤣🤣🤣🤣Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China
Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa COVAX Facility, ikiwa ni sehemu ya dozi 1,065,600
Kuna jamaa leo alishachoma AstraZeneca huko Kenya, amekuja tena anataka kuchoma Janssen.Kuna watu kwa sifa watachoma tena[emoji3][emoji3]
Hao 400,000 waliochanja asilimia 90 ni wana CHADEMA mi CCM inalumbana kanisani tu.Kwani mibavicha na nyie hamchanji?
Si mlikuwa mnamtukana Magu kila siku kwamba kwanini haleti chanjo?
Ina maana mibavicha hamfiki hata nusu milioni wa kwenda kushambulia hizo chanjo chap?
Wachina wenyewe hawajawahi kusema kuwa wanauza vitu feki bali ni nyie ndio mnaosema wanatengeneza vitu feki.Waulize wachina.
Khaa hahaha[emoji3][emoji3][emoji3]Yah kuna misukule kule upande wa pili ambao walipinga chanjo, na wakachoma kimyakimya.
Sasa kwa upepo wa Hangaya watachoma tena hiyo ya mchina.!