Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.



Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.

 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…