Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Serikali ya Tanzania leo imepokea kutoka Serikali ya Madagascar msaada wa dawa zinazofubaza virusi vya corona ikiwa ni siku tano tu toka Rais Magufuli aseme ——-> “Nimewasiliana na Madagascar kuna dawa ya corona wameipata nitatuma Ndege hiyo dawa ije hapa”
IMG_20200508_165150.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Tanzania leo imepokea kutoka Serikali ya Madagascar msaada wa dawa zinazofubaza virusi vya corona ikiwa ni siku tano tu toka Rais Magufuli aseme ——-> “Nimewasiliana na Madagascar kuna dawa ya corona wameipata nitatuma Ndege hiyo dawa ije hapa” View attachment 1443810

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunaomba Kwanza huyo aliyeupokea ajiambukize COVID-19 Kimakusudi kisha aitumie hiyo Dawa na tupate Mrejesho wake.
 
Tanzania leo imepokea msaada wa dawa zinazofubaza Virusi vya Corona kutoka Serikali ya Madagascar.

View attachment 1443800View attachment 1443801View attachment 1443802

Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania imewasili nchini Ivato kupata tena chai ya mimea ya Covid Organics, michango kutoka Jamhuri ya Madagaska. Ujumbe huo unakaribishwa na Mkuu wa Malagasy wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.
Duh.

Kweli maisha yanaenda kasi,leo hawa madagascar wanakuwa dona kantri kwa Tz.

Kweli corona imetunyoosha,yeyoye atatusaidia tu.

Sent using iphone pro max
 
Tanzania leo imepokea msaada wa dawa zinazofubaza Virusi vya Corona kutoka Serikali ya Madagascar.

View attachment 1443800View attachment 1443801View attachment 1443802

Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania imewasili nchini Ivato kupata tena chai ya mimea ya Covid Organics, michango kutoka Jamhuri ya Madagaska. Ujumbe huo unakaribishwa na Mkuu wa Malagasy wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.
Tanzania inatafuta shortcut ya kutatua matatizo ya msingi, hivi Serikali inafikiri nchi nyingine ni wajinga kuendelea kupima watu wake na kuchukua hatua ngumu dhidi ya Covid19 na badala yake na wao waagize dawa kutoka Madagascar?
 
Inaonekana dawa inafanya kazi kwa ufanisi wa asilimia kadhaa na hii imekuwa proved baada ya case za wagonjwa kupungua Madagascar

Je huu mmea hau-exist Tz ili tuanze kufanya production kwaajili ya ujenzi wa taifa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika wamepungua au unatoa macho tu kama kabudi kumbe huna akili

Au Mods mnasemaje?
 
Back
Top Bottom