Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiriaa mchupaaa toka madascarGTs,
Kwa hakika nchi yetu kwa kipindi hiki imekuwa na maadui wengi, hasa wanaotuonea wivu kwa msimamo wa rais wetu, utajili wetu na amani tuliyonayo. Majirani zetu wanatamani tufe wengi.
Sasa nimeona zile dawa za madagascar, waziri anakunywa.
Je zimehakikiwa ni salama na vyombo vyetu vya husika????
Kama havijahakikiwa nashauri tusitumie.
Subiria mchupa toka madascarMadagascar ni Ndugu zetu
Dawa za kuhofia ni kutoka kwa Mabeberu
zitatutosha hizo ? au kila mtanzania tone moja
Naona umeanza kupingana na mawazo ya mwenyekiti wenuGTs,
Kwa hakika nchi yetu kwa kipindi hiki imekuwa na maadui wengi, hasa wanaotuonea wivu kwa msimamo wa rais wetu, utajili wetu na amani tuliyonayo. Majirani zetu wanatamani tufe wengi.
Sasa nimeona zile dawa za madagascar, waziri anakunywa.
Je zimehakikiwa ni salama na vyombo vyetu vya husika????
Kama havijahakikiwa nashauri tusitumie.
Hakuna dawa hapo, acheni uchizi!
Kwa kweli awamu hii wamelitia aibu Taifa ....... Aibu hii itachukua miaka na miaka kuisafisha!!Haitafua dafu,ni sawa tu na kikombe cha babu wa Loliondo!
Mku usiumize kichwa. Ndege iliyotumwa madagascar haijakufatia wewe dawa. Kuna mtu mkubwa ameshaunasa anahangaika na madawa dunia nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madagascar ni Ndugu zetu
Dawa za kuhofia ni kutoka kwa Mabeberu
Hiyo ni demo mabox ya kutosha yako kwenye drimulainaSasa hizo box zinatosha Watu wangapi!?