mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Na hakuna vifo vya corona Madagaska!!Inaonekana dawa inafanya kazi kwa ufanisi wa asilimia kadhaa na hii imekuwa proved baada ya case za wagonjwa kupungua Madagascar
Je huu mmea hau-exist Tz ili tuanze kufanya production kwaajili ya ujenzi wa taifa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo huoni kama ni hasara kupeleka ndege kwenda kuleta vijiboksiUlitaka ngapi?? Zinatosha kwa idadi ya wagonjwa tulio nao!! Tutakuwa tunaagiza kwa kadri tutakavyohitaji!!
Madagascar reimposes lockdown in capital as coronavirus cases surgekikombe cha babu wa Madagascar sio msaada tumelipia kwa pesa zetu za ndani.
Ndiyo mmejua leo kuwa mafuta ya ndege yalichomwa bure?Another babu wa Loliondo in the making
Ila kabudi alifaidi juice..Ndiyo mmejua leo kuwa mafuta ya ndege yalichomwa bure?
Hapana chezea Alkasusu ya Madagascar.Ila kabudi alifaidi juice..
Hahaha.....wacha tuendelee kuifanyia utafiti, kila mtu lazima aonje angalau funda moja..Hapana chezea Alkasusu ya Madagascar.
Haha mimi kwakweli hapana sitaki kuonja huo utopolo wa Madagascar.Hahaha.....wacha tuendelee kuifanyia utafiti, kila mtu lazima aonje angalau funda moja..
Tupeni mrejesho wakuu maana Madagascar wao Jana tu hapo wameingia kwenye lockdownSerikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.
Tuliweka Mungu awe Kinga yetu,Kuna hatari ya kwetu kurejea hayo. Tume relax sana mpaka tumefikia kufanya send party ya Covid-19!
Duh kwa hiyo tumepigwaAnother babu wa Loliondo in the making
HIZI KODI ZETU WATAZILIPA TU, hivi hiyo JUISI YA LIMAU mloenda kuchukua kwa ndege binafsi kwa gharama zaidi ya milioni 100 huko Madagaska na mkasema inatibu COVID 19 imeishia wapi?Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.
Nakulilia TanzaniaSerikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.
Nakulilia Tanzania