Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeshangaa kama tungepanda kwa soka hili la Jamal Malinzi.Katika Viwango vya soka dunian vilivyotolewa na FIFA leo, Tanzania imeshuka kwa nafasi 8, kutoka 124 sasa nafas 132.
10 Bora katika viwango vya soka duniani vilivyotolewa na FIFA leo Sept 15, Brazil imepanda kwa nafasi 5.
Kwani Malinzi ndio anaporomosha soka letu kaka??Ningeshangaa kama tungepanda kwa soka hili la Jamal Malinzi.
Katika Viwango vya soka dunian vilivyotolewa na FIFA leo, Tanzania imeshuka kwa nafasi 8, kutoka 124 sasa nafas 132.
10 Bora katika viwango vya soka duniani vilivyotolewa na FIFA leo Sept 15, Brazil imepanda kwa nafasi 5.
Katika Viwango vya soka dunian vilivyotolewa na FIFA leo, Tanzania imeshuka kwa nafasi 8, kutoka 124 sasa nafas 132.
10 Bora katika viwango vya soka duniani vilivyotolewa na FIFA leo Sept 15, Brazil imepanda kwa nafasi 5.
Usijali wiki mbili zijazo tutapanda na kuwa wa 713.
Kwani Malinzi ndio anaporomosha soka letu kaka??
Uko sloo sana kuelewa, ni hayo tu!Kwani Malinzi ndio anaporomosha soka letu kaka??
Ningeshangaa kama tungepanda kwa soka hili la Jamal Malinzi.
Yaani huyu Jamal Malinzi ni mborongaji mzuri tu.Kila sehem yeye ni mtu wa kuboronga hana vision yoyote yupo yupo tu.Kwani Malinzi ndio anaporomosha soka letu kaka??