Tanzania yaporomoka viwango vya soka duniani

Tanzania yaporomoka viwango vya soka duniani

Jeff Gemo

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
34
Reaction score
26
Katika Viwango vya soka dunian vilivyotolewa na FIFA leo, Tanzania imeshuka kwa nafasi 8, kutoka 124 sasa nafas 132.

10 Bora katika viwango vya soka duniani vilivyotolewa na FIFA leo Sept 15, Brazil imepanda kwa nafasi 5.
 
Twende tu..

Hata tuwe wa 320 sawa kabisa..

Akili ya viongozi wa soka imelala kwenye Simba na Yanga.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Shirikisho la soka Duniani, FIFA limetoa orodha ya viwango vya ubora kwa mataifa mbalimbali duniani kwa mwezi Septemba.

Orodha inaonesha kwamba, Tanzania imeporomoka kwa nafasi nne kutoka 124 hadi kushika nafasi ya 132.

Kufungwa dhidi ya Nigeria katika mchezo uliokuwa wa kusaka tiketi ya kufuzu Afcon mwaka 2017 pengine ndiyo sababu kubwa ya Tanzania kuporomoka.

Uganda bado wameendelea kuwa bora Afrika Mashariki na ukanda wote wa CECAFA kwa ujumla wakishika nafasi ya 65 duniani na 15 barani Afrika.

Rwanda wanafuata kwa karibu baada ya kupanda mpaka nafasi ya 107 kutoka nafasi ya 121.

Barani Afrika, Ivory Coast wameendelea kuwa kileleni, huku wakishika nafasi ya 34 duniani, wakifuatiwa na Waarabu wa Algeria, Senegal na Ghana.

Kinara wa ulimwengu wanabaki kuwa Argentina wakfuatiwa kwa karibu na Ubelgiji, Ujerumani, Colombia na Brazil.
 
Katika Viwango vya soka dunian vilivyotolewa na FIFA leo, Tanzania imeshuka kwa nafasi 8, kutoka 124 sasa nafas 132.

10 Bora katika viwango vya soka duniani vilivyotolewa na FIFA leo Sept 15, Brazil imepanda kwa nafasi 5.


Lakini tunapaa Kiuchumi, sasa hivi sisi ni second fastest growing economy in Africa dadadeki, ndiyo huwezi kupewa kila kitu!
 
Tanzania ya viwanda hahaa, halafu eti brasil iko juu ya chile, kwa mpira gani walionao hao brasil mpaka wawazidi Chile? Si Vichekesho jamani. Fifa wameboronga
 
Katika Viwango vya soka dunian vilivyotolewa na FIFA leo, Tanzania imeshuka kwa nafasi 8, kutoka 124 sasa nafas 132.

10 Bora katika viwango vya soka duniani vilivyotolewa na FIFA leo Sept 15, Brazil imepanda kwa nafasi 5.

Usijali wiki mbili zijazo tutapanda na kuwa wa 713.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
mtu akiwa anashabikia na kuweka mapenzi kwenye vilabu vya soccer vya tz una namshangaa sana na nakuwa na wasiwasi nae kichwani mwake.
 
Wenye dhamana ya soka hawafikirii nje ya boksi, kukicha ni kumfikiria Juma Kaseja tu kana kwamba ni muarobaini wake.
"34 Côte d'Ivoire 752(751.81).
35 Algeria 749(748.81).
39 Senegal 684(684.17).
42 Tunisia 662(662.43).
43 Ghana 658(658.07).
51 Congo DR 589(588.94).
53 Egypt 587(587.37).
54 Congo 585(584.85).
55 Mali 580(579.89).
58 Morocco 570(569.94).
59 Cameroon 565(565.43).
61 Guinea 549(549.24).
62 South Africa 539(539.37).
64 Nigeria 534(533.72).
65 Uganda 509(509.01).
67 Burkina Faso 502(501.77).
71 Benin 483(483.23).
72 Cape Verde Islands 475(474.83).
73 Guinea-Bissau 474(473.89).
76 Libya 466(466.23).
81 Equatorial Guinea 424(424.16).
89 Mozambique 381(380.58).
91 Kenya 378(378.36).
92 Zambia 377(376.92).
93 Sierra Leone 372(371.79).
96 Mauritania 349(348.51).
97 Botswana 348(347.74).
99 Malawi 342(341.84).
100 Togo 334(334.24).
100 Swaziland 334(334.19).
103 Liberia 329(328.75).
105 Chad 326(326.02).
107 Rwanda 325(325.42).
108 Gabon 324(324.07).
113 Zimbabwe 316(315.5).
121 Namibia 301(300.95).
122 Central African Republic 299(299.35).
122 Niger 299(299).
126 Ethiopia 284(283.99).
129 Burundi 278(277.84).
131 Madagascar 269(269.06).
132 Tanzania 264(263.68).
134 Angola 247(246.76).
135 Sudan 246(245.55).
150 Lesotho 200(199.89).
151 São Tomé e Príncipe 197(196.56).
152 Comoros 191(190.95).
153 Mauritius 184(183.95).
167 South Sudan 138(138.38).
169 Gambia 129(128.83).
188 Seychelles 72(72.4).
205 Djibouti 0(0).
205 Eritrea 0(0).
205 Somalia 0(0)."
 
Muulize waziri wa michezo ana action plan ipi ya kuinua michezo nchi hii, ukimliza muulize malinzi nchi hii kuna academy ngapi za soka, halafu unataka upande viwango vya fifa?? Sku zote pesa inatafutwa na pesa wekeza pesa siyo siasa
 
Back
Top Bottom