Tanzania yaporomoka viwango vya soka duniani

Tanzania yaporomoka viwango vya soka duniani

Hivi matokeo ya serengeti boys kumbe hayana msaada wowote kutupandisha chati ? kweli serikali ya ccm imefeli kwenye michezo
 
malinzi omba msaada Taifa Stars ipelekwe AJENTINA kwa wanaojua mpira wakapate mafunzo angalau miezi mitatu,watarudi fulu kweli kweli.kuliko kuchezea pesa,ns akuna kinachoendelea
 
malinzi omba msaada Taifa Stars ipelekwe AJENTINA kwa wanaojua mpira wakapate mafunzo angalau miezi mitatu,watarudi fulu kweli kweli.kuliko kuchezea pesa,ns akuna kinachoendelea

😀😀 baada ya hapo wapewe mechi ya kirafiki ya U20....
 
Muulize waziri wa michezo ana action plan ipi ya kuinua michezo nchi hii, ukimliza muulize malinzi nchi hii kuna academy ngapi za soka, halafu unataka upande viwango vya fifa?? Sku zote pesa inatafutwa na pesa wekeza pesa siyo siasa
Action plan yao hasa TFF ni kumchagua tu Juma Kaseja mpaka sasa kwenye timu za taif, kabakisha tu kuichezea timu ya taifa ya wanawake na hili si muda mrefu.
 
Aliyetuloga mungu anakuona [emoji29] [emoji29]
Mkuu, nimetafakari mno na kugundua mchawi wetu ni EPL. Tumetokea kuzipenda timu za vilabu hata ya taifa lake na kudharau zetu na hakuna wa kutusitua kama baba wa taifa alivokuwa akituamsha.
 
Back
Top Bottom