Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
malinzi omba msaada Taifa Stars ipelekwe AJENTINA kwa wanaojua mpira wakapate mafunzo angalau miezi mitatu,watarudi fulu kweli kweli.kuliko kuchezea pesa,ns akuna kinachoendelea
Kwa faida ya nani mkuu?Wacha liporomoke tu
Action plan yao hasa TFF ni kumchagua tu Juma Kaseja mpaka sasa kwenye timu za taif, kabakisha tu kuichezea timu ya taifa ya wanawake na hili si muda mrefu.Muulize waziri wa michezo ana action plan ipi ya kuinua michezo nchi hii, ukimliza muulize malinzi nchi hii kuna academy ngapi za soka, halafu unataka upande viwango vya fifa?? Sku zote pesa inatafutwa na pesa wekeza pesa siyo siasa
Mkuu, nimetafakari mno na kugundua mchawi wetu ni EPL. Tumetokea kuzipenda timu za vilabu hata ya taifa lake na kudharau zetu na hakuna wa kutusitua kama baba wa taifa alivokuwa akituamsha.Aliyetuloga mungu anakuona [emoji29] [emoji29]