Tanzania yarudi kwa Mchina kuomba mkopo wa SGR

hivi uliishawahi mpigia au msimamisha magu ukamueleza kwamba wewe unamuona ni mwendawazimu kwa maamuzi yake!!!!

maana hiki unachofanya hapa ni zaidi ya huo uwendawazimu wenyewe.kama vyuma kila mtu vimekaza mzee usitepete kizembe namna hiyo.
 
Kwa hiyi wakenya mnatuonea wivu jirani zenu tukienda kutembeza bakuli ?
 
Angalia kamongo mwingine huyu!!! Mtu mwenyewe kajiita mwendawazimu kwanini nimbishie!? Tia akili kichwani

hivi uliishawahi mpigia au msimamisha magu ukamueleza kwamba wewe unamuona ni mwendawazimu kwa maamuzi yake!!!!

maana hiki unachofanya hapa ni zaidi ya huo uwendawazimu wenyewe.kama vyuma kila mtu vimekaza mzee usitepete kizembe namna hiyo.
 
Pitia Lumumba kachukue buku Saba zako!
 
Wacha upumbavu nionyeshe wapi nilisema the whole 2500 km will be constructed with our funds at 100%!
[emoji38][emoji38][emoji38] Sisiemu sio watu wazuri. Walikuingiza box vilainiiiii, alafu baada ya hapo wakakusex hadi ukapoteza ufahamu waambieni kwamba Mungu anawaona.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Sisiemu sio watu wazuri. Walikuingiza box vilainiiiii, alafu baada ya hapo wakakusex hadi ukapoteza ufahamu waambieni kwamba Mungu anawaona.
Jifutahishe tuu najua roho inakuuma baada ya Kenya kunyimwa Tanzania inapewa tena kwa masharti nafuu!
 
Jifutahishe tuu najua roho inakuuma baada ya Kenya kunyimwa Tanzania inapewa tena kwa masharti nafuu!
Mihemko na hisia kibao ndio zako, ila haibadilishi uhalisia wa mambo kama yalivyo. Walikulewesha na porojo nyingi za dona kantri na tunajenga kwa hela zetu. Alafu na umbumbumbu wako wote huo mzee ukalewa chakari, na bado hadi sasa hivi una hang over, huamini kwamba kumekucha. Anaitwa ze katarist, kiboko ya malofa.
 
We have the right to disagree and reject unfavourable conditions.

We welcome Chinese if and only the contract will be favourable to suit themselves as well as Tanzania as a country
kujifariji
 
Kwa ufinyu wa akili yako. Kuandika ukweli kuhusu maovu yake si kuonyesha chuki bali kusema ukweli. Fungua akili yako ili uyaone maovu yake mbali mbali zikiwemo dhuluma za kutisha na mauaji ya kutisha.

We post zako nyingi zinaonyesha una chuki dhidi ya jpm
 
Kwa ufinyu wa akili yako. Kuandika ukweli kuhusu maovu yake si kuonyesha chuki bali kusema ukweli. Fungua akili yako ili uyaone maovu yake mbali mbali zikiwemo dhuluma za kutisha na mauaji ya kutisha.
Bac twende kwenye Uzi wetu
 
Bado nakumbuka ule mradi wa bandari ya bagamoyo tulivyowasema vibaya wachina....mara hii wameshakuwa wema?! Na kwa sababu tumeenda wenyewe kuomba....tayari tumewapa nguvu kubwa ya kupata wakitakacho. Muda mara zote ni muamuzi mzuri! Wacha tuanze kula matapishi yetu sasa...

But, short term uamuzi wa kukopa ni mzuri kwani unapunguza pesa nyingi kwenda nje ya nchi kwa mara moja.....badala yake unaleta pesa kutoka nje. Hii inasaidia kuounguza pressure kwenye mzunguko wetu wa pesa.
 
What does this 254 stands for? I see most of these kikuyus, luos, kambas, turkanas, masaais and kalenjins puting the numbers after their names
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…