mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hivi uliishawahi mpigia au msimamisha magu ukamueleza kwamba wewe unamuona ni mwendawazimu kwa maamuzi yake!!!!Huwezi kupiga hatua kwa kuongozwa na mwendawazimu anayesikiliza ushauri wa dikteta mwenzie kagame kuhusu kununua ndege wakati hajui lolote kuhusu vipaumbele vya Watazania. 2. 4 trillions kakwapua na uchunguzi huru akauzima. $495 millions kachota hazina bila idhini ya Bunge na akazuia CAG Assad asifanye audit ya matumizi ya pesa hizo. Unadhani kwanini alizuia kama hakukuwa na UOVU!? Tafakari kwa kina.
maana hiki unachofanya hapa ni zaidi ya huo uwendawazimu wenyewe.kama vyuma kila mtu vimekaza mzee usitepete kizembe namna hiyo.