Kama Tanzania tunafaidikaje kuipelela hiyo gesi Kenya hadi kuleta ugomvi wa kusutana na gesi yenyewe hatuzalishi?
Halafu sisi tuna export gesi , hivi hii gesi yetu hadi sasa ni nani anayefahamu hasa faida yake kwa watanzania?
Gesi hii imetosheleza mahitaji ya tanzania? Tuliambiwa shida ya umeme itaisha lakini bado shida ipo.
Na ku-import maziwa sijaelewa kabisa yaani kwa sababu inaonekana hatuna upungufu wa maziwa. Tulihitaji kitu ambacho kwetu ni adimu sasa maziwa ya nini? Tunaupungufu wa maziwa?
Any way mi naona hayo makubaliano hayata leta tija yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo gesi inapelekwa na wafanyabiashara binafsi sio na serikali. Ukitaka kufaidika nenda kafanye biashara sio kupiga domo humu.
Ndugu Industry ya Gas inahitaji uwekezaji wa mabilioni ya pesa
Bado serikali yako ipo kwenye Hatua za awali za ujenzi wa Kiwanda cha kuchakata gesi kule Lindi kitakachogharimu zaidi ya Trillion 60 za Kitanzania. Hapo ndio tutaona faida ya gesi, na huenda ikaenda hadi 2030
Hata hivyo, Hadi sasa zaidi ya asilimia 50 ya Umeme wa grid ya Taifa unazalishwa kwa nishati inayotokana na gesi asilia ndio maana ule mgao wa Umeme uliotusumbua miaka mitano iliyopita haupo tena.
Ujenzi wa mitambo zaidi ya Kufua Umeme kutoka kwenye gesi asilia unaendelea Pale Kinyerezi ambao utaongezea megawati 450 kwenye grid ya Taifa.
Hapo kwenye Maziwa nakubaliana na wewe.
Tuna maziwa ya kumwaga huko vijijini, Mimi binafsi nipo mjini na hayo maziwa yao ya pakiti huwa situmii, natumia maziwa fresh yaliyokamuliwa moja kwa moja.
Serikali iruhusu imports za vitu walau vyenye tija.
Hujaelewa mantiki ya swali we bi kigagula, kama biashara ni ya watu binafsi na si ya serikali , sasa ina uzito gani hadi kufikia kuhatarisha mahusiano ya hizi nchi mbili ?
Hapo pana typing error au umemaanisha?Ndugu Industry ya Gas inahitaji uwekezaji wa mabilioni ya pesa, Bado serikali yako ipo kwenye Hatua za awali za ujenzi wa Kiwanda cha kuchakata gesi kule Lindi kitakachogharimu zaidi ya Trillion 60 za Kitanzania. Hapo ndio tutaona faida ya gesi, na huenda ikaenda hadi 2030
Hujaelewa mantiki ya swali we bi kigagula, kama biashara ni ya watu binafsi na si ya serikali , sasa ina uzito gani hadi kufikia kuhatarisha mahusiano ya hizi nchi mbili ?
Mkuu gas inaagizwa nje, ikifika hapa oryx, mihans na wengine wanabeba mitubgi yao wanaenda kujaza wanatuuzua sisi.Kama Tanzania tunafaidikaje kuipelela hiyo gesi Kenya hadi kuleta ugomvi wa kusutana na gesi yenyewe hatuzalishi?
Mostly serikali haifanyi biashara, serikali inasimamia ukusanyaji wa kodi na kuweka mazingira mazuri ya kufanyika kwa biashara ili iweze kupata kodi yake.Hujaelewa mantiki ya swali we bi kigagula, kama biashara ni ya watu binafsi na si ya serikali , sasa ina uzito gani hadi kufikia kuhatarisha mahusiano ya hizi nchi mbili ?
Nani kakwambia serikali haishughulikii, nimeshakuelewesha kwenye post ingine, serikali lazima ishughulikie kwanza, kabla haijafikia consumers, Kenya likewise and other countries.Asante! Ni watu binafsi ndoo wanaleta hizo gas mbaya Kenya, badala ya serikali ya Tz kuwashughulika,ati inaamua kuadhibu Kenya. Mtchew!
Hapo pana typing error au umemaanisha?
He hee, MK254 vipi ile mashine ya kukagua gesi fake inoliopuka toka Tz and other bs. Unyang'au tu ndio mnaweza, na tutawanyoosha, ndio kwaanza kunakucha pande hii. Mtabana na kuja na mashine za kila aina, ila mtaachia tu. Nyinyi hamuwezi isumbua Tz hata kidogo, we have all the advantages.
Mkuu unatumia gesi?,kuna siku umeenda kununua gesi ukakosa kwa sababu haitoshi?Gesi kwetu haitoshi lakini wanataka waipeleke kenya!!
Basi kama ni hivyo tutaendelea kukata miti ili tuchome mkaa
Mwana Malunde amekusikia[emoji61] [emoji61] [emoji61]Gesi kwetu haitoshi lakini wanataka waipeleke kenya!!
Basi kama ni hivyo tutaendelea kukata miti ili tuchome mkaa