KWELI Tanzania yasaini mikataba minne ya makubaliano na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Upotoshwaji at its best, Kia hajapewa Oman, ila amepewa sehemu ya kujenga hotel ndani ya mipaka ya Kia.
Kwanini wasipewe wazawa ?, Ni sahihi nchi ya Oman kujenga Hotel hapo KIA ?
 
Duh! [emoji849] wananchi hoi!
Anyway tukutane kwenye uchaguzi
 
Hakuna tofauti,Nyerere airport mpaka Leo inaendeshwa na waswizi, wazungu, mbona hakuna kelele,maana nao ni wageni?
 
Waarabu wanasaini kuendeleza misitu wakati kwao ni jangwa tupu tumekosa viongozi kwa kweli
 
Sehemu zetu za siri za nchi zinaumia sana aisee.

Utajiri wa maliasili ndo janga lenyewe
 
Kwao Ni jangwa,tunawapa misitu waisimamie,waindekeze. !!!!!! Kweli!!!!
 
Eee Mwenyezi Mungu hujawahi shindwa na Nguvu za giza. Sikiliza Sala za watu wako uwaondolee giza kwenye maisha yao. Amina
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…