Tanzania yashika namba 12 kwenye orodha ya nchi 30 ambazo wananchi wake hawana furaha zaidi duniani

Tanzania yashika namba 12 kwenye orodha ya nchi 30 ambazo wananchi wake hawana furaha zaidi duniani

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12

30 Unhappiest countries in the world
1. Afghanistan ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ซ
2. Sierra Leone ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑ
3. Lebanon ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง
4. Malawi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ
5. Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ
6. Botswana ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ
7. Democratic Republic of the Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
8. Yemen ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ช
9. Comoros ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ
10. Lesotho ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ธ
11. Eswatini ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ
12. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
13. Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
14. Bangladesh ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฉ
15. Sri Lanka ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฐ
16. Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น
17. Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
18. Madagascar ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฌ
19. Liberia ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ท
20. Jordan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ด
21. Togo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ
22. Myanmar ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฒ
23. Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ
24. Cambodia ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ญ
25. Mali ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
26. Somalia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด
27. Benin ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฏ
28. Burkina Faso ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ
29. Chad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฉ
30. India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ

tz.png


Source: Insider Monkey
 
CCM ndio sababu ya yote haya
Just imagine Watanzania na upole wao wote, na ukarimu wao wote ikafikia hatua hadi wakaandamana, yani wamechoka na wamechoka tena. Kwanza kila mtu alishangaa.

Watanzania wanaumia kimya kimya miaka na miaka, kwa sababu ya wahuni wachache tu, wanaoliumiza taifa
 
Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12

30 Unhappiest countries in the world
1. Afghanistan ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ซ
2. Sierra Leone ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑ
3. Lebanon ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง
4. Malawi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ
5. Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ
6. Botswana ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ
7. Democratic Republic of the Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
8. Yemen ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ช
9. Comoros ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ
10. Lesotho ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ธ
11. Eswatini ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ
12. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
13. Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
14. Bangladesh ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฉ
15. Sri Lanka ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฐ
16. Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น
17. Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
18. Madagascar ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฌ
19. Liberia ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ท
20. Jordan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ด
21. Togo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ
22. Myanmar ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฒ
23. Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ
24. Cambodia ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ญ
25. Mali ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
26. Somalia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด
27. Benin ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฏ
28. Burkina Faso ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ
29. Chad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฉ
30. India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ

View attachment 3512835

Source: Insider Monkey
Tanzania ndiyo namba moja.
 
Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12

30 Unhappiest countries in the world
1. Afghanistan ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ซ
2. Sierra Leone ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑ
3. Lebanon ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง
4. Malawi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ
5. Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ
6. Botswana ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ
7. Democratic Republic of the Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
8. Yemen ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ช
9. Comoros ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ
10. Lesotho ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ธ
11. Eswatini ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ
12. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
13. Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
14. Bangladesh ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฉ
15. Sri Lanka ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฐ
16. Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น
17. Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
18. Madagascar ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฌ
19. Liberia ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ท
20. Jordan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ด
21. Togo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ
22. Myanmar ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฒ
23. Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ
24. Cambodia ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ญ
25. Mali ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
26. Somalia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด
27. Benin ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฏ
28. Burkina Faso ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ
29. Chad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฉ
30. India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ

View attachment 3512835

Source: Insider Monkey
Niende zangu Sasa na haka ka takwimu ubalozi wa Norway nikaonbe Asylum seeker!
 
Hiyo nafasi wametuonea! Tulistahili kabiss kushika nafasi ya pili kwenye huo msimamo. Ni Afghanstan pekee ndiyo wanastahili kutuzidi.
Hizi takwimu baada ya kufanya utafiti katika taasisi za serikali. Kama wangechukulia mtaani huku tulipaswa tuwe no. 2
 
Uonevu tu, nafasi yetu ni ya kwanza bhana waache upotoshaji.
 
Botswana inafanya nini hapa, Au kuna Botswana nyengine mbali na niliyo ishii na ninayo ijua?
 
Botswana inafanya nini hapa, Au kuna Botswana nyengine mbali na niliyo ishii na ninayo ijua?
Raia wa Botswana masikini wengi tu acheni kudanganya watu kila nikipita Botswana wao ndio wanaongoza kuomba lift Bara Bara ya Martin drift boarder hata Gabs na Mahalapye hivyo hivyo unakuta raia kibao wanasubiri lift na wengi wao wanawake tu hapo Nata Jmos kwenye Club zao si wanauza nyama zao live live tu..
 
Ingetakiwa iwe top three kwa Yale mauaji ya kigaidi ya Oct 29
 
Back
Top Bottom