Tanzania yashika namba 12 kwenye orodha ya nchi 30 ambazo wananchi wake hawana furaha zaidi duniani

Raia wa Botswana masikini wengi tu acheni kudanganya watu kila nikipita Botswana wao ndio wanaongoza kuomba lift Bara Bara ya Martin drift boarder hata Gabs na Mahalapye hivyo hivyo unakuta raia kibao wanasubiri lift na wengi wao wanawake tu hapo Nata Jmos kwenye Club zao si wanauza nyama zao live live tu..
Ni kweli kuna gap kubwa kwa wenye nacho na wasionacho hususani nchi za kusini mwa afrika.
Lakini wengi wana amani na wanafuraha na nchi zao tofauti na kwetu.
Sio Botswana, Namibia, Zimbabwe, Lesotho, South Afrika, Swaziland, Zambia.
 
Hizo Nchi ulizotaja zote wanatushinda na wanaongoza kwa kunywa pombe na sio kuwa wana furaha hakuna kitu chochote nipo SA leo usiku ntakua Gabs kuelekea Kazungula na Zambia nawajua vizuri sana hawa watu kila ukiwahoji watu ni kulalamika tu mwanzo mwisho..
Wasauzi utasema wana furaha gani hawa mkuu..
 
Kulalamika ni kawaida yao, Na kweli maisha yao sio mazuri.
Lakini kamwe sio watu wakusema wanachukia nchi zao na wangetamani kuzaliwa mbwa ulaya ama sehemu zengine.
Na pia sio watu wa kusafiri na kwenda kutafuta kwengine, Japokuwa wapo wanaoenda ulaya na marekani.
 
Hizo Nchi ulizotaja zote wanatushinda na wanaongoza kwa kunywa pombe na sio kuwa wana furaha hakuna kitu chochote nipo SA leo usiku ntakua Gabs kuelekea Kazungula na Zambia nawajua vizuri sana hawa watu kila ukiwahoji watu ni kulalamika tu mwanzo mwisho..
Wasauzi utasema wana furaha gani hawa mkuu..
Mimi naishi huku full time, Mwaka wa 6+.
Nawajua vizuri sana.
 
Mpaka mwaka uje kupinduka tutakuwa tumemtoa Malawi #4 au Liberia #2
 
Back
Top Bottom