Tanzania ndiyo namba moja.Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12
30 Unhappiest countries in the world
1. Afghanistan 🇦🇫
2. Sierra Leone 🇸🇱
3. Lebanon 🇱🇧
4. Malawi 🇲🇼
5. Zimbabwe 🇿🇼
6. Botswana 🇧🇼
7. Democratic Republic of the Congo 🇨🇩
8. Yemen 🇾🇪
9. Comoros 🇰🇲
10. Lesotho 🇱🇸
11. Eswatini 🇸🇿
12. Tanzania 🇹🇿
13. Egypt 🇪🇬
14. Bangladesh 🇧🇩
15. Sri Lanka 🇱🇰
16. Ethiopia 🇪🇹
17. Zambia 🇿🇲
18. Madagascar 🇲🇬
19. Liberia 🇱🇷
20. Jordan 🇯🇴
21. Togo 🇹🇬
22. Myanmar 🇲🇲
23. Ghana 🇬🇭
24. Cambodia 🇰🇭
25. Mali 🇲🇱
26. Somalia 🇸🇴
27. Benin 🇧🇯
28. Burkina Faso 🇧🇫
29. Chad 🇹🇩
30. India 🇮🇳
View attachment 3512835
Source: Insider Monkey
😂😂😂Tanzania ndiyo namba moja.
Niende zangu Sasa na haka ka takwimu ubalozi wa Norway nikaonbe Asylum seeker!Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12
30 Unhappiest countries in the world
1. Afghanistan 🇦🇫
2. Sierra Leone 🇸🇱
3. Lebanon 🇱🇧
4. Malawi 🇲🇼
5. Zimbabwe 🇿🇼
6. Botswana 🇧🇼
7. Democratic Republic of the Congo 🇨🇩
8. Yemen 🇾🇪
9. Comoros 🇰🇲
10. Lesotho 🇱🇸
11. Eswatini 🇸🇿
12. Tanzania 🇹🇿
13. Egypt 🇪🇬
14. Bangladesh 🇧🇩
15. Sri Lanka 🇱🇰
16. Ethiopia 🇪🇹
17. Zambia 🇿🇲
18. Madagascar 🇲🇬
19. Liberia 🇱🇷
20. Jordan 🇯🇴
21. Togo 🇹🇬
22. Myanmar 🇲🇲
23. Ghana 🇬🇭
24. Cambodia 🇰🇭
25. Mali 🇲🇱
26. Somalia 🇸🇴
27. Benin 🇧🇯
28. Burkina Faso 🇧🇫
29. Chad 🇹🇩
30. India 🇮🇳
View attachment 3512835
Source: Insider Monkey
Hizi takwimu baada ya kufanya utafiti katika taasisi za serikali. Kama wangechukulia mtaani huku tulipaswa tuwe no. 2Hiyo nafasi wametuonea! Tulistahili kabiss kushika nafasi ya pili kwenye huo msimamo. Ni Afghanstan pekee ndiyo wanastahili kutuzidi.
Kweli kabisa.Hapo kwa Botswana hata mimi nimeshangaa, ila kwenye Tanzania ni sahihi kabisa
Raia wa Botswana masikini wengi tu acheni kudanganya watu kila nikipita Botswana wao ndio wanaongoza kuomba lift Bara Bara ya Martin drift boarder hata Gabs na Mahalapye hivyo hivyo unakuta raia kibao wanasubiri lift na wengi wao wanawake tu hapo Nata Jmos kwenye Club zao si wanauza nyama zao live live tu..Botswana inafanya nini hapa, Au kuna Botswana nyengine mbali na niliyo ishii na ninayo ijua?