Tanzania yashika Namba 6 Kwa Utawala Bora kusini mwa Jangwa la Sahara

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).

Taifa hili limeorodheshwa nafasi ya 6 barani Afrika na ya 78 duniani, likiwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa katika miaka mitano iliyopita.

Ripoti hiyo imeangazia mafanikio ya Tanzania katika kuimarisha taasisi za serikali, kurahisisha huduma kwa wananchi kupitia teknolojia, na kutekeleza mageuzi ya kiutawala.

Miradi kama Digital Tanzania Project na Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi imetajwa kuwa miongoni mwa vichocheo vya maendeleo hayo.

Wachambuzi wanasema kupanda kwa Tanzania kwenye chati ya utawala bora ni ishara ya mwelekeo mpya wa kisera unaolenga uwajibikaji, uwazi, na huduma bora kwa wananchi.

View: https://www.instagram.com/p/DODKXRTiBE9/?igsh=MXIwOTVwZTF0dmw5NA==

1756883160489.png

My Take
Chadomo wanazidi kuumbuka , takwimu zinawakataa huku SSH akizidi kuwa outshine haters wake wote.

Kazi nzuri ya kujenga Tanzania Kwa misingi ya Utawala Bora chini ya awamu ya 6 Umefanya Tanzania ya Samia kuwa namba 6 Afrika na namba 78 Dunia.
1756883509006.jpeg
 
Kuna habari nilisoma sehemu jana na kuna chart kabisa inaonesha kwamba tuko kwenye “10” bora ya wadaiwa sugu wa IMF…
IMF na sio Mkopo kw ujumla.Uwe inahusisha akili.

Deni la Nchi kiujumla ni 100T lakini hiyo taarifa Yako Ina Dola bil.5 huko IMF.
 
Mleta uzi hata aibu kidogo tu huna?

Utawala bora upi unaoteka na kupoteza watu? Hata hili wewe hulijuwi?

Hujuwi kweli kina Mdude, Soka, Kibao na wengi tu, juzi tu hapo walikuwa hai kama ilivyo kwako na sasa hawapo? Huo ndo urawala bora?
 
Kama sisi ni namba 6 sipati picha hali ilivyo nchi zingine 😂😂😂
Tanzania ni Nchi Moja salama na nzuri ya kuishi huko kwingine ni jela kama sio jehanamu ndio maana mnapata fursa hata ya kutukana.
 
Mleta uzi hata aibu kidogo tu huna?

Utawala bora upi unaoteka na kupoteza watu? Hata hili wewe hulijuwi?

Hujuwi kweli kina Mdude, Soka, Kibao na wengi tu, juzi tu hapo walikuwa hai kama ilivyo kwako na sasa hawapo? Huo ndo urawala bora?
Mbona wewe hujatekwa na kupotezwa?
 
Hata kipindi cha mali, watoto na watumishi wa Ayubu walipokuwa wakipatwa majanga ya kuuwawa, alikuwepo mtu aliyebakizwa kwa kupeleka tarifa za maafa
Kwa hiyo kati ya mamilioni waliopo wametekwa na kupotezwa umebakia wewe mtoto wa Nuhu au?

You might be joking
 
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).

Taifa hili limeorodheshwa nafasi ya 6 barani Afrika na ya 78 duniani, likiwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa katika miaka mitano iliyopita.

Ripoti hiyo imeangazia mafanikio ya Tanzania katika kuimarisha taasisi za serikali, kurahisisha huduma kwa wananchi kupitia teknolojia, na kutekeleza mageuzi ya kiutawala.

Miradi kama Digital Tanzania Project na Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi imetajwa kuwa miongoni mwa vichocheo vya maendeleo hayo.

Wachambuzi wanasema kupanda kwa Tanzania kwenye chati ya utawala bora ni ishara ya mwelekeo mpya wa kisera unaolenga uwajibikaji, uwazi, na huduma bora kwa wananchi.
View attachment 3463542

My Take
Chadomo wanazidi kuumbuka , takwimu zinawakataa huku SSH akizidi kuwa outshine haters wake wote.

Kazi nzuri ya kujenga Tanzania Kwa misingi ya Utawala Bora chini ya awamu ya 6 Umefanya Tanzania ya Samia kuwa namba 6 Afrika na namba 78 Dunia.

View: https://www.instagram.com/p/DN-21SCDHdA/?igsh=MTV3bnFyeWMyaHAxMQ==

Vipi kwenye kukosa furaha tupo nafasi ya ngapi?
 
Chadomo wanazidi kuumbuka , takwimu zinawakataa.

Kazi nzuri ya kujenga Tanzania Kwa misingi ya Utawala Bora chini ya awamu ya 6 Umefanya Tanzania ya Samia kuwa namba 6 Afrika na namba 78 Dunia.

View: https://www.instagram.com/p/DN-21SCDHdA/?igsh=MTV3bnFyeWMyaHAxMQ==

Na hivi sasa kama taifa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria, wenye viwango vya kimataifa vya uhuru, haki na uwazi.

siku za usoni tunaweza kua namba moja barani Africa kwa ubora wa utawala bora.

well done Dr.Samia Suluhu Hassan and God bless you 🌹
 
"Utawala Bora" utakuwa ni msamiati mpya... Misukule unawalisha kinachotakiwa siyo kinachohitajika ..
 
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).

Taifa hili limeorodheshwa nafasi ya 6 barani Afrika na ya 78 duniani, likiwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa katika miaka mitano iliyopita.

Ripoti hiyo imeangazia mafanikio ya Tanzania katika kuimarisha taasisi za serikali, kurahisisha huduma kwa wananchi kupitia teknolojia, na kutekeleza mageuzi ya kiutawala.

Miradi kama Digital Tanzania Project na Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi imetajwa kuwa miongoni mwa vichocheo vya maendeleo hayo.

Wachambuzi wanasema kupanda kwa Tanzania kwenye chati ya utawala bora ni ishara ya mwelekeo mpya wa kisera unaolenga uwajibikaji, uwazi, na huduma bora kwa wananchi.
View attachment 3463542

My Take
Chadomo wanazidi kuumbuka , takwimu zinawakataa huku SSH akizidi kuwa outshine haters wake wote.

Kazi nzuri ya kujenga Tanzania Kwa misingi ya Utawala Bora chini ya awamu ya 6 Umefanya Tanzania ya Samia kuwa namba 6 Afrika na namba 78 Dunia.

View: https://www.instagram.com/p/DN-21SCDHdA/?igsh=MTV3bnFyeWMyaHAxMQ==

Lete na graph ya deni la taifa, tuko namba ngapi?
 
duh namba 6 kote huko, kwa nini siyo namba 1 ? wengfine tunataka namba 1 kwenyze kila kitu positive...
 
Back
Top Bottom