ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #21
Kama sio finyango za awamu ya 5 tungekuwa namba 1 saizi.Lete na graph ya deni la taifa, tuko namba ngapi?
Kazi ya kuziba viraka na kufikia Yale mashimo inaendelea

Tanzania ni Nchi Moja salama na nzuri ya kuishi huko kwingine ni jela kama sio jehanamu ndio maana mnapata fursa hata ya kutukana.
calm down gentleman ikiwa uko pointless 🐒"Utawala Bora" utakuwa ni msamiati mpya... Misukule unawalisha kinachotakiwa siyo kinachohitajika ..
Kama sio finyango za awamu ya 5 tungekuwa namba 1 saizi.
Kazi ya kuziba viraka na kufikia Yale mashimo inaendelea
Ndio tuna deni dogo kushinda Nchi zote za Sadc na EAC.
IMF na sio Mkopo kw ujumla.Uwe inahusisha akili.
Deni la Nchi kiujumla ni 100T lakini hiyo taarifa Yako Ina Dola bil.5 huko IMF.
Tunatiki inshaAllah, kwa Mama.Mitano tenaTanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).
Taifa hili limeorodheshwa nafasi ya 6 barani Afrika na ya 78 duniani, likiwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa katika miaka mitano iliyopita.
Ripoti hiyo imeangazia mafanikio ya Tanzania katika kuimarisha taasisi za serikali, kurahisisha huduma kwa wananchi kupitia teknolojia, na kutekeleza mageuzi ya kiutawala.
Miradi kama Digital Tanzania Project na Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi imetajwa kuwa miongoni mwa vichocheo vya maendeleo hayo.
Wachambuzi wanasema kupanda kwa Tanzania kwenye chati ya utawala bora ni ishara ya mwelekeo mpya wa kisera unaolenga uwajibikaji, uwazi, na huduma bora kwa wananchi.
View attachment 3463545
View attachment 3463542
My Take
Chadomo wanazidi kuumbuka , takwimu zinawakataa huku SSH akizidi kuwa outshine haters wake wote.
Kazi nzuri ya kujenga Tanzania Kwa misingi ya Utawala Bora chini ya awamu ya 6 Umefanya Tanzania ya Samia kuwa namba 6 Afrika na namba 78 Dunia.
View attachment 3463547
Kijamii hatuna hali mbaya sana ila kuhusu utawala bora nakataa. Kama hauko kwenye utumishi wa umma utabishi.Tanzania ni Nchi Moja salama na nzuri ya kuishi huko kwingine ni jela kama sio jehanamu ndio maana mnapata fursa hata ya kutukana.
Wewe na nani?Haitusaidii!
Unabwabwaja au unatoa maoni? Mbona hujaweka ushahidi wa unayoyaongea kuhusu utumishi wa Umma?Kijamii hatuna hali mbaya sana ila kuhusu utawala bora nakataa. Kama hauko kwenye utumishi wa umma utabishi.
Kama uko kwenye utumishi wa umma na akili yako iko intact huwezi kuwa chawa.
Ukikuta mtumishi wa umma ni chawa ujue ni kwa maslahi yake binafsi
Utawala Bora haupimwi Kwa uzushi na chuki za ChadomoYah ni kweli, chadema waliongoza awamu ya tano vibaya Sana
Bora awamu ya sita tuwape ccm
Huna hojaKwenye makaratasi ni sahihi
Unasemaa!Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).
Taifa hili limeorodheshwa nafasi ya 6 barani Afrika na ya 78 duniani, likiwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa katika miaka mitano iliyopita.
Ripoti hiyo imeangazia mafanikio ya Tanzania katika kuimarisha taasisi za serikali, kurahisisha huduma kwa wananchi kupitia teknolojia, na kutekeleza mageuzi ya kiutawala.
Miradi kama Digital Tanzania Project na Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi imetajwa kuwa miongoni mwa vichocheo vya maendeleo hayo.
Wachambuzi wanasema kupanda kwa Tanzania kwenye chati ya utawala bora ni ishara ya mwelekeo mpya wa kisera unaolenga uwajibikaji, uwazi, na huduma bora kwa wananchi.
View attachment 3463545
View attachment 3463542
My Take
Chadomo wanazidi kuumbuka , takwimu zinawakataa huku SSH akizidi kuwa outshine haters wake wote.
Kazi nzuri ya kujenga Tanzania Kwa misingi ya Utawala Bora chini ya awamu ya 6 Umefanya Tanzania ya Samia kuwa namba 6 Afrika na namba 78 Dunia.
View attachment 3463547
Soma madaUnasemaa!
HujielewiUnabwabwaja au unatoa maoni? Mbona hujaweka ushahidi wa unayoyaongea kuhusu utumishi wa Umma?
Niko kwenye utumishi wa Umma nieleze shida unazopitia wewe na huku niliko Mimi sizioni.
Hizo taarifa zenu za kutengeneza kipindi cha uchaguzi kaeni nazo huko huko Lumumba
Samia mitano ngoja waje wabisheTanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).