ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Nani ameitengeneza? Kama una dukuduku,lalamishi na shida binafsi peleka kwenye kamati ya kutoa tathmnini huko Kwa watoa taarifa.Hizo taarifa zenu za kutengeneza kipindi cha uchaguzi kaeni nazo huko huko Lumumba.
IMF na sio Mkopo kw ujumla.Uwe inahusisha akili.Kuna habari nilisoma sehemu jana na kuna chart kabisa inaonesha kwamba tuko kwenye โ10โ bora ya wadaiwa sugu wa IMFโฆ
Tanzania ni Nchi Moja salama na nzuri ya kuishi huko kwingine ni jela kama sio jehanamu ndio maana mnapata fursa hata ya kutukana.Kama sisi ni namba 6 sipati picha hali ilivyo nchi zingine ๐๐๐
Mbona wewe hujatekwa na kupotezwa?Mleta uzi hata aibu kidogo tu huna?
Utawala bora upi unaoteka na kupoteza watu? Hata hili wewe hulijuwi?
Hujuwi kweli kina Mdude, Soka, Kibao na wengi tu, juzi tu hapo walikuwa hai kama ilivyo kwako na sasa hawapo? Huo ndo urawala bora?
100T?IMF na sio Mkopo kw ujumla.Uwe inahusisha akili.
Deni la Nchi kiujumla ni 100T lakini hiyo taarifa Yako Ina Dola bil.5 huko IMF.
Hata kipindi cha mali, watoto na watumishi wa Ayubu walipokuwa wakipatwa majanga ya kuuwawa, alikuwepo mtu aliyebakizwa kwa kupeleka tarifa za maafaMbona wewe hujatekwa na kupotezwa?
Kwa hiyo kati ya mamilioni waliopo wametekwa na kupotezwa umebakia wewe mtoto wa Nuhu au?Hata kipindi cha mali, watoto na watumishi wa Ayubu walipokuwa wakipatwa majanga ya kuuwawa, alikuwepo mtu aliyebakizwa kwa kupeleka tarifa za maafa
Vipi kwenye kukosa furaha tupo nafasi ya ngapi?Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).
Taifa hili limeorodheshwa nafasi ya 6 barani Afrika na ya 78 duniani, likiwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa katika miaka mitano iliyopita.
Ripoti hiyo imeangazia mafanikio ya Tanzania katika kuimarisha taasisi za serikali, kurahisisha huduma kwa wananchi kupitia teknolojia, na kutekeleza mageuzi ya kiutawala.
Miradi kama Digital Tanzania Project na Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi imetajwa kuwa miongoni mwa vichocheo vya maendeleo hayo.
Wachambuzi wanasema kupanda kwa Tanzania kwenye chati ya utawala bora ni ishara ya mwelekeo mpya wa kisera unaolenga uwajibikaji, uwazi, na huduma bora kwa wananchi.
View attachment 3463542
My Take
Chadomo wanazidi kuumbuka , takwimu zinawakataa huku SSH akizidi kuwa outshine haters wake wote.
Kazi nzuri ya kujenga Tanzania Kwa misingi ya Utawala Bora chini ya awamu ya 6 Umefanya Tanzania ya Samia kuwa namba 6 Afrika na namba 78 Dunia.
View: https://www.instagram.com/p/DN-21SCDHdA/?igsh=MTV3bnFyeWMyaHAxMQ==
Na hivi sasa kama taifa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria, wenye viwango vya kimataifa vya uhuru, haki na uwazi.Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).
Taifa hili limeorodheshwa nafasi ya 6 barani Afrika na ya 78 duniani, likiwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa katika miaka mitano iliyopita.
Ripoti hiyo imeangazia mafanikio ya Tanzania katika kuimarisha taasisi za serikali, kurahisisha huduma kwa wananchi kupitia teknolojia, na kutekeleza mageuzi ya kiutawala.
Miradi kama Digital Tanzania Project na Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi imetajwa kuwa miongoni mwa vichocheo vya maendeleo hayo.
Wachambuzi wanasema kupanda kwa Tanzania kwenye chati ya utawala bora ni ishara ya mwelekeo mpya wa kisera unaolenga uwajibikaji, uwazi, na huduma bora kwa wananchi.
My Take
Chadomo wanazidi kuumbuka , takwimu zinawakataa.
Kazi nzuri ya kujenga Tanzania Kwa misingi ya Utawala Bora chini ya awamu ya 6 Umefanya Tanzania ya Samia kuwa namba 6 Afrika na namba 78 Dunia.
View: https://www.instagram.com/p/DN-21SCDHdA/?igsh=MTV3bnFyeWMyaHAxMQ==
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).
Taifa hili limeorodheshwa nafasi ya 6 barani Afrika na ya 78 duniani, likiwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa katika miaka mitano iliyopita.
Ripoti hiyo imeangazia mafanikio ya Tanzania katika kuimarisha taasisi za serikali, kurahisisha huduma kwa wananchi kupitia teknolojia, na kutekeleza mageuzi ya kiutawala.
Miradi kama Digital Tanzania Project na Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi imetajwa kuwa miongoni mwa vichocheo vya maendeleo hayo.
Wachambuzi wanasema kupanda kwa Tanzania kwenye chati ya utawala bora ni ishara ya mwelekeo mpya wa kisera unaolenga uwajibikaji, uwazi, na huduma bora kwa wananchi.
View attachment 3463542
My Take
Chadomo wanazidi kuumbuka , takwimu zinawakataa huku SSH akizidi kuwa outshine haters wake wote.
Kazi nzuri ya kujenga Tanzania Kwa misingi ya Utawala Bora chini ya awamu ya 6 Umefanya Tanzania ya Samia kuwa namba 6 Afrika na namba 78 Dunia.
View: https://www.instagram.com/p/DN-21SCDHdA/?igsh=MTV3bnFyeWMyaHAxMQ==
Ndio tuna deni dogo kushinda Nchi zote za Sadc na EAC.Lete na graph ya deni la taifa, tuko namba ngapi?
Hizo taarifa zenu za kutengeneza kipindi cha uchaguzi kaeni nazo huko huko Lumumba.