Tanzania yashika Namba 6 Kwa Utawala Bora kusini mwa Jangwa la Sahara

Tukisema ukweli mnatujia juu… Sasa kwani sijatumia kwenye kuliongekea hili ndugu mwenye nchi?

Hata ulichokiandika sijakuelewa… anyways!

Ni taarifa ya kweli au si ya kweli!?!?!
IMF na sio Mkopo kw ujumla.Uwe inahusisha akili.

Deni la Nchi kiujumla ni 100T lakini hiyo taarifa Yako Ina Dola bil.5 huko IMF.
 
Tunatiki inshaAllah, kwa Mama.Mitano tena
 
Tanzania ni Nchi Moja salama na nzuri ya kuishi huko kwingine ni jela kama sio jehanamu ndio maana mnapata fursa hata ya kutukana.
Kijamii hatuna hali mbaya sana ila kuhusu utawala bora nakataa. Kama hauko kwenye utumishi wa umma utabishi.
Kama uko kwenye utumishi wa umma na akili yako iko intact huwezi kuwa chawa.
Ukikuta mtumishi wa umma ni chawa ujue ni kwa maslahi yake binafsi
 
Unabwabwaja au unatoa maoni? Mbona hujaweka ushahidi wa unayoyaongea kuhusu utumishi wa Umma?

Niko kwenye utumishi wa Umma nieleze shida unazopitia wewe na huku niliko Mimi sizioni.
 
Unasemaa!
 
Hizo taarifa zenu za kutengeneza kipindi cha uchaguzi kaeni nazo huko huko Lumumba
Samia mitano ngoja waje wabishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…