tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Kila kitu kibaya sisi! Kimbali sisi, ...utekaji sisi... Mbinyo wa habari sisi...., upotezaji watu sisi.... EndeleaTanzania imeshika nafasi ya tisa barani Afrika na ya 67 duniani kwa bei kubwa ya mafuta mwezi huu wa Mei 2026, ikisajili wastani wa $1.587 kwa lita.
Kulingana na takwimu za GlobalPetrolPrices, hali hii inatokana na kupanda kwa gharama za nishati duniani, jambo linaloongeza gharama za maisha, usafirishaji, na uzalishaji wa viwandani nchini.
Orodha ya Bei kwa Lita (Nchi 10 za Juu Afrika):
- Malawi: $3.832
- Zimbabwe: $2.080
- Rwanda: $2.010
- Afrika ya Kati: $1.879
- Sierra Leone: $1.779
- Senegal: $1.653
- Shelisheli: $1.632
- Cabo Verde: $1.603
- Tanzania: $1.587
- Afrika Kusini: $1.586
------------------------------------------------
Other countries on the list include the Central African Republic, Sierra Leone, Senegal, Seychelles, Cabo Verde and South Africa.
Analysts say rising fuel prices remain one of the most economically disruptive challenges facing African economies because of their direct impact on transport, food prices, electricity generation and industrial production.
10 African countries with the highest fuel prices per litre in May 2026:
1. Malawi: $3.832
2. Zimbabwe: $2.08
3. Rwanda: $2.10
4. Central African Republic: $1.879
5. Sierra Leone: $1.779
6. Senegal: $1.65
7. Seychelles $1.632
8. Cabo Verde $1.603
9. Tanzania $1.587
10. South Africa $1.586
Source The Citizen
Akiiona hii taarifa ataipinga kwa nguvu zake zote! Mama wa ajabu yule!!Tanzania imeshika nafasi ya tisa barani Afrika na ya 67 duniani kwa bei kubwa ya mafuta mwezi huu wa Mei 2026, ikisajili wastani wa $1.587 kwa lita.
Kulingana na takwimu za GlobalPetrolPrices, hali hii inatokana na kupanda kwa gharama za nishati duniani, jambo linaloongeza gharama za maisha, usafirishaji, na uzalishaji wa viwandani nchini.
Orodha ya Bei kwa Lita (Nchi 10 za Juu Afrika):
- Malawi: $3.832
- Zimbabwe: $2.080
- Rwanda: $2.010
- Afrika ya Kati: $1.879
- Sierra Leone: $1.779
- Senegal: $1.653
- Shelisheli: $1.632
- Cabo Verde: $1.603
- Tanzania: $1.587
- Afrika Kusini: $1.586
------------------------------------------------
Other countries on the list include the Central African Republic, Sierra Leone, Senegal, Seychelles, Cabo Verde and South Africa.
Analysts say rising fuel prices remain one of the most economically disruptive challenges facing African economies because of their direct impact on transport, food prices, electricity generation and industrial production.
10 African countries with the highest fuel prices per litre in May 2026:
1. Malawi: $3.832
2. Zimbabwe: $2.08
3. Rwanda: $2.10
4. Central African Republic: $1.879
5. Sierra Leone: $1.779
6. Senegal: $1.65
7. Seychelles $1.632
8. Cabo Verde $1.603
9. Tanzania $1.587
10. South Africa $1.586
Source The Citizen
Acha kuwaza kijima mkuu, unless una uelewa mdogo wa mambo ya kiulimwengu, unaweza eleza ni kwa namna Gani mtanganyika akishabikia vita vya Irani Mafuta yanapanda!?Yafike kidogo 10k kwa litter ili watu waache ushabiki wa vita wa jijinga jinga
Kenya lita moja ni Ksh 196.52 sawa na Tsh 3939.62Mbona Kenya 🇰🇪 siwaoni hapoo kwenye hiyo chart
Hahaha!! Akikujibu naomba unitag please.Shauri ya tozo nyingi. Hiyo bei wamechukulia ya mkoa gani?
Kwani walikuwa wanalinganisha mikoa au nchi.Shauri ya tozo nyingi. Hiyo bei wamechukulia ya mkoa gani?
Kwani bei ya Dar na Kigoma ni sawa? Japo zote zipo nchi moja.Kwani walikuwa wanalinganisha mikoa au nchi.
Wanachukua average mkuu.Kwani bei ya Dar na Kigoma ni sawa? Japo zote zipo nchi moja.
Wewe jamaa ni mpumbavu saana,dini zinahusika vipi hapo kwenye bei za mafutausisahau pia sehemu kubwa ya hizo nchi ni landlocked au visiwa vidogo, south afrika per capital income yake ni karibia mara 10 ya tanzagiza.
tanzagiza imeshikwa mateka na muslims, Christians wanahitaji uhuru wa kujitawala kama mnataka haki na utawala bora wenye kujali heshima ya kila binadamu, only Christianity can deliver that …
Pumbavu,ni kwa namna gani ushabiki unasababisha vita??Yafike kidogo 10k kwa litter ili watu waache ushabiki wa vita wa jijinga jinga