Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa kutoka Barani Afrika zinaeleza kwamba, Tanzania imepata Heshima kubwa Duniani baada ya kupanda juu kwenye orodha ya nchi zinazoongoza kwa Ushirikina, huku ikiwa imezidiwa na nchi ya Cameroon Pekee ambayo ndio namba 1, Tanzania imepanda hadi nafasi ya Pili.
Kupanda juu kwa Tanzania kwenye List ya Uchawi barani Africa kunatokana na juhudi kabambe za mauaji yanayotokana na imani za kishirikina ya Wazee 117, takwimu hii ya kujivunia inaanzia July 2017 hadi May 2018 .
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba kati ya waliouawa wamo wanaume 91 na wanawake 26 , huku Mkoa wa Tabora ukiongoza kwa mauaji hayo.
Jambo hili limefichuliwa na Ofisa wa Kituo cha sheria na Haki za binadamu ( LHRC ), Fundikira Wazambi.
Chanzo: Mwananchi