Tanzania yashika namba mbili kwa Uchawi Barani Afrika

Sifa ambazo hazima impact yoyote
 
Hatukubali hii list ina upendeleo sisi ndyo namba 1 barani Afrika iyo namba mbili ni kidunia ndugu muandishi , wambie watuletee kombe letu
 
Kuamini ushirikina ni primitivity,ni saini ya akili finyu katika kufikiri. Ndiyo maana watawala wanaweza kutugeuza wanavyotaka na bila resistance. 99,9999999% ya tanzanians ni takataka kichwani...
 
mauaji yanayotokana na imani za kishirikina ya Wazee 117 , takwimu hii ya kujivunia inaanzia July 2017 hadi May 2018 .[emoji3064]
Mmh kuna kitu sio cha kawaida hapa
 
Bila takwimu ni uzushi
 
Amini usiamini, Nigeria hufuata ndumba zao Tanzania. Huu ndio ukweli ambao yakupasa ufahamu, hilo ni eneo ambalo tunaongoza katika tasnia zote.
 
Amini usiamini, Nigeria hufuata ndumba zao Tanzania. Huu ndio ukweli ambao yakupasa ufahamu, hilo ni eneo ambalo tunaongoza katika tasnia zote.
Acha uongo usio na tija..
ACHA UONGO..
 
Amini usiamini, Nigeria hufuata ndumba zao Tanzania. Huu ndio ukweli ambao yakupasa ufahamu, hilo ni eneo ambalo tunaongoza katika tasnia zote.
Huenda, lakini Tanzania haitambuliwi. Magwiji wanaotambulika kuanzia bingwa: Malawi, Nigeria, Ghana,Uganda, Senegal, Mozambique, Congo, Benin, Kenya, Cameroun, South Afrika.....kwenye First Eleven hatupo.
 
Sawa, tabora ni mkoa wa kwanza, orodha kamili ya mikoa inayofutia nyuma ya tabora itolewe. Halafu huo utafiti umeangazia mauaji ya wazee hao tu na kuacha mauzauza? Vipi kuhusu vinyamkera na majini huo sio uchawi?. Kwa afrika cameroun imeipiku vipi nigeria? Nigeria mpaka wanathibitisha kwa filamu zao kuwa kuna uchawi mwingi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…