Tanzania yashindwa kesi, yakubali kuilipa fidia Kampuni ya Montero Tsh. Bilioni 71 kwa kukiuka Masharti ya Mkataba


Tz ni shamba la bibi
 
Jiwe alikuwa kichaa,bora mama Anafanya vitu kwa utulivu kabisa,
 
Jiwe ndio chanzo ya yote haya, lakini misukule ya jiwe hutosikia hapa wanamlaumu yule dikteta, lawama zao zote atapewa mama sababu sio mwanaparokia mwenzao.
 
Matokeo ya wanasiasa kuingilia utendaji kazi wa watumishi ndio hii sasa..
 
Tanzania imekubali kuilipa kampuni ya Montero ya Canada dola milioni 27 ambazo ni 39% ya madai ya awali kama fidia ya kuvunja mkataba wa utafiti wa madini katika mlima Wigu Morogoro.

Kampuni ya Montero ilipeleka shauri la madai katika mahakama ya usuluhishi, ICSID kudai fidia ya dola milioni 70 baada ya Tanzania kuvunja mkataba.

Hata hivyo Tanzania iliomba ilipe dola milioni 27 na kuondoa shauri hilo mahakamani, ombi ambalo kampuni ya Montero ilikubali. Tayari Montero imepokea dola milioni 12 kama malipo ya awali na inatarajiwa kupokea malipo yote ifikapo tarehe 28 February mwakani 2025

MON) ("Montero" or the "Company") is pleased to report a US$27,000,000 settlement has been reached with the United Republic of Tanzania ("Tanzania") in the dispute arising out of the expropriation of Montero's Wigu Hill rare earth element project ("Wigu Hill").

The settlement sum of US$27,000,000 (approximately CDN $38,000,000) due to Montero is payable in just over 3 months, with payments scheduled as follows:

US$12,000,000- payable by 20 November 2024-PAYMENT RECEIVED

US$8,000,000- on or before 31 January 2025

US$7,000,000- on or before 28 February 2025

The settlement sum represents ~39% of the US$70,000,000 initially claimed by Montero.
 
Pesa ndefu hiyo , ingeweza fanya vitu kibao kunufaisha wananchi ,ila ndio hivyo tena na bado kuna kampuni nyingine pia zinafungwa madai , bado kuna msururu mrefu wa kampuni zenye madai na fidia
Now nimeanza kuamini maneno aliyowahi kuyasema yule mshangazi mnaomuita dada wa taifa
 
Hiyo ni michongo ya watu. Hawa wanyonyaji kipindi wanafurushwa walinywea na kukubali yaishe. Wamesubiri hadi nchi kashika bibi yao saivi ni kujilimbikizia tu mimali.

Hadi sasa kesi zaidi ya 5 hakuna hata moja tulioshinda, ni vikampuni uchwara vinajitokeza na kudai fidia na cha ajabu wanashinda na hela wanalipwa right away. Huu ni uhuni tunafanyiwa kama nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…