IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Hakuna cha uhuni kasome hukumu utagundua tulizingua kuvunja mkataba bila kufikiria mara mbili. Wanasheria wetu wengi njaaHiyo ni michongo ya watu. Hawa wanyonyaji kipindi wanafurushwa walinywea na kukubali yaishe. Wamesubiri hadi nchi kashika bibi yao saivi ni kujilimbikizia tu mimali.
Hadi sasa kesi zaidi ya 5 hakuna hata moja tulioshinda, ni vikampuni uchwara vinajitokeza na kudai fidia na cha ajabu wanashinda na hela wanalipwa right away. Huu ni uhuni tunafanyiwa kama nchi.
Ndio maana Mimi nasisitiza hii ni michezo ya kihuni tu ndio inayofanyika hapa, Kuna watu ni watanzania wenzetu ila hawana huruma hata chembe na hili taifa licha ya umasikini huu tulionao...Hiyo ni michongo ya watu. Hawa wanyonyaji kipindi wanafurushwa walinywea na kukubali yaishe. Wamesubiri hadi nchi kashika bibi yao saivi ni kujilimbikizia tu mimali.
Hadi sasa kesi zaidi ya 5 hakuna hata moja tulioshinda, ni vikampuni uchwara vinajitokeza na kudai fidia na cha ajabu wanashinda na hela wanalipwa right away. Huu ni uhuni tunafanyiwa kama nchi.
Kweli hii mikataba inatufikia aseNdivyo mikataba inavyokuwa. Makubaliano lazima yafikiwe. Ni kawaida dunia nzima
Sisi ni maiti tunazotembea, unategemea nini toka kwa maiti.Siasa ni biashara inayolipa sana. Wabongo wamebaki kushabikia yanga na simba tu habari kama hiyo ni kama haiwahusu.
DahNdivyo mikataba inavyokuwa. Makubaliano lazima yafikiwe. Ni kawaida dunia nzima
Kuna mtu kakosa mshahara?Ndugu Mtumishi, mshahara wako umetumika kuipongeza Taifa Stars. Tuonane mwezi Ujao.
Uzalendo Daima
CrapMaana wanasheria wetu hawajui sheria, bali hucheza na mahakama hizi zisizo huru kwa kuweka mapingamizi tu, na mahakimu au majaji hufuata maelekezo yao. Hivyo tukienda kusiko na mbeleko lazima tukae.
Ili kukomesha upuuzi wa aina hii hakuna budi kuharamisha kabisa makosa makubwa ya namna hii na kuyaweka katika kundi la miongoni mwa makosa makubwa zaidi katika Jamhuri ya Tanzania sawa sawa na Uhaini. Watuhumiwa watakapokutwa na hatia Basi Hukumu yake iwe Moja tu, nayo ni Kunyongwa hadi kufa!View attachment 3158170
Tanzania inadaiwa kudondokea pua katika mwendelezo wa kesi zinazoikabili ambapo sasa itatakiwa kuilipa Kampuni ya Montero zaidi ya Tsh. Bilioni 71 kama fidia kwa kukiuka masharti ya mkataba.
Inadaiwa kuwa tayari Novemba 20, 2024, Serikali imeshalipa Tsh. Bilioni 30 na zilizobaki inatakiwa kuzilipa mara mbili kati ya January na Februari 2025.
Imekuwa ni kawaida sasa kwa Tanzania kushindwa kwenye mahakama za kimataifa.
Rejea pia kesi hii: Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92
Kesi nyingine: Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300 Kuchotwa
Kwanini hii Serikali inakiuka ovyo mikataba na kutia hasara nchi? Kwanini wanasheria wetu wanatuangusha kiasi hiki? Kwanini kesi hizi zinaendeshwa kimya kimya? Au ni miradi ya upigaji wa watu? Maswali ni mengi.
UFAFANUZI ZAIDI
===
===
ukitaka kujua sisi hamnazo angalia mwandiko wa divambona kila kesi sie ndio tunashindwa?
View attachment 3158170
Tanzania inadaiwa kudondokea pua katika mwendelezo wa kesi zinazoikabili ambapo sasa itatakiwa kuilipa Kampuni ya Montero zaidi ya Tsh. Bilioni 71 kama fidia kwa kukiuka masharti ya mkataba.
Inadaiwa kuwa tayari Novemba 20, 2024, Serikali imeshalipa Tsh. Bilioni 30 na zilizobaki inatakiwa kuzilipa mara mbili kati ya January na Februari 2025.
Imekuwa ni kawaida sasa kwa Tanzania kushindwa kwenye mahakama za kimataifa.
Rejea pia kesi hii: Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92
Kesi nyingine: Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300 Kuchotwa
Kwanini hii Serikali inakiuka ovyo mikataba na kutia hasara nchi? Kwanini wanasheria wetu wanatuangusha kiasi hiki? Kwanini kesi hizi zinaendeshwa kimya kimya? Au ni miradi ya upigaji wa watu? Maswali ni mengi.
UFAFANUZI ZAIDI
===
===
Aisee. Bahati mbaya ndio mnakuwa Mawaziri.Ndivyo mikataba inavyokuwa. Makubaliano lazima yafikiwe. Ni kawaida dunia nzima
Ukisoma hiyo habari ni kipindi cha hekaya za huyo shujaa na kina kabudiR.I. P Magufuli . Mali zetu sasa zinatapanywa hovyo, hao Montero ni vigogo ndani serikali au ccm wanajilipa
Hy no. 4 vp mbowe?Elimu feki inazaa:-
1. Madaktari feki walioshindwa kutibu waathirika wa moto wa kule Msamvu.
2. Wanasheria feki wanaosaini mikataba ya kijinga kama DP World etc, kisha kuangukia pua kwenye kila kesi.
3. Wahandisi feki wanaosababisha MAGHOROFA kuanguka hovyo Kariakoo.
4. Wanasiasa feki wa aina ya jiwe, Samia, na Makonda.
Hiyo pesa kidogo sana kwa Tanzania, Subiri CCM wakasirike wanalipa siku moja tu.Montero agrees to US$27 million settlement from Tanzania
November 20, 2024
Toronto, Ontario – November 20, 2024 – Montero Mining and Exploration Ltd. (TSX-V: MON) (“Montero” or the “Company”) is pleased to report a US$27,000,000 settlement has been reached with the United Republic of Tanzania (“Tanzania”) in the dispute arising out of the expropriation of Montero’s Wigu Hill rare earth element project (“Wigu Hill”).
The settlement sum of US$27,000,000 (approximately CDN $38,000,000) due to Montero is payable in just over 3 months, with payments scheduled as follows:
• US$12,000,000– payable by 20 November 2024 –PAYMENT RECEIVED
• US$8,000,000– on or before 31 January 2025
• US$7,000,000– on or before 28 February 2025
The settlement sum represents ~39% of the US$70,000,000 initially claimed by Montero. This settlement obviates the need for a costly and time-consuming hearing, the risk of an adverse award, enforcement efforts, and finally concludes a near 7-year dispute.
Dr Tony Harwood, President and CEO of Montero commented: “I am pleased Montero was able to reach an amicable settlement with the government of Tanzania to bring a mutually beneficial end to this dispute. This resolution allows both parties to move forward, and we wish Tanzania every success in attracting new mining investment. I would like to thank our shareholders, board, management, and our legal and technical teams, for their valuable contribution to this outcome.”
ICSID Arbitration
Montero and Tanzania have sent a joint request to the arbitral tribunal to suspend the ICSID arbitration proceedings, as the first payment has been received by Montero. Subsequent payments are to be made by the specified dates provided. Provided the final payment has been received by Montero, the parties will request the arbitral tribunal discontinue the ICSID arbitration altogether.
Distribution of Funds
Montero and its litigation funding partner, Omni Bridgeway (Canada) will receive a distribution of the first payment. The second instalment will be distributed to Omni Bridgeway (Canada) and to Montero, and will also cover Montero’s operational needs and legal expenses, including payments to Boies Schiller Flexner UK LLP and Jeantet AARPI. Montero will entirely retain the final instalment.
Montero is planning a return of capital to shareholders where no amount has yet been determined and is subject to accounting review and board approval. In addition, Montero will retain funds to cover legal, taxation, and administrative expenses, including potential costs for arbitral proceedings, or enforcement actions if the second or third instalments are delayed or unpaid. The net amount of the award after repayment to the funder and legal expenses cannot be estimated with certainty and no assurances can be made. Further announcements will be made in due course.
Acknowledgments
The Board would like to especially thank Dr. Tony Harwood for reaching this settlement. Without his perseverance and significant efforts to not only develop Wigu Hill initially, but to then safeguard and recover Montero’s investment speaks to his dedication and commitment to the Company and shareholders. Special thanks also to directors, the balance of management, our loyal shareholders, legal advisers and accounting team for their steadfast support and dedication throughout nearly seven years of efforts to secure compensation for the Company’s investment in the Wigu Hill Rare Earth Project. Montero’s legal team includes Timothy Foden of Boies Schiller Flexner (UK) LLP and Martin Tavaut of Jeantet AARPI. Quantum and technical expertise provided by Dr. Neal Rigby of SRK Consulting (USA) Inc. with full dispute funding secured from Omni Bridgeway, a leading global dispute funder. This unwavering commitment enabled the Board to achieve a favourable outcome for the benefit of shareholders.
Disclaimer
The conclusion of the ICSID arbitration and payment of the remaining instalments is conditional on Tanzania’s compliance with the settlement agreement. The agreement does not provide for any security for the benefit of Montero in case Tanzania would not pay any instalment, in which case Montero can either resume the ICSID arbitration or seek enforcement of the settlement agreement.
About Montero
Montero has agreed to a US$27,000,000 settlement amount to end its dispute with the United Republic of Tanzania for the expropriation of the Wigu Hill rare earth element project. Montero will continue to seek a joint venture partner to advance its Avispa copper-molybdenum project in Chile. Montero’s board of directors and management have an impressive track record of successful
Dr. Antony Harwood, President and Chief Executive Officer
Hiyo pesa kidogo sana kwa Tanzania, Subiri CCM wakasirike wanalipa siku moja tu.
hahaha, I still belive Ma-CCM yanaweza kulipa hilo deni, ni dogo sana. Yani kulipa deni tu bila interest tunaweza, with interest tunaweza, na hata tukiweka 10% yetu, interest ya deni na deni lenyewe, bado tunalipa.Angalizo zito kuhusu ukwasi wa serikali ya Tanzania :
Disclaimer
The conclusion of the ICSID arbitration and payment of the remaining instalments is conditional on Tanzania’s compliance with the settlement agreement. The agreement does not provide for any security for the benefit of Montero in case Tanzania would not pay any instalment, in which case Montero can either resume the ICSID arbitration or seek enforcement of the settlement agreement.
Mingi akibariki, umeliumbua vibaya hili haterIla huo mgogoro ulianza wakati wa uongozi wake, Lissu alisema tutashitakiwa Miga tukawa tunamcheka, ndio tunavuna matokeo yake😏
View attachment 3158173