Tanzania Yashitakiwa Umoja wa Afrika kutokana na kukiuka Haki za Binadamu

Tanzania ni nyani(muanzilishi) wa AU, sasa katafuteni ngedere wa kuamua kesi.

Yaani kinyago (AU) tukitengeneze sisi halafu kitutishe? Twalemaga bhagosha,
 
"na walitufanyia mambo mabaya sana"
ikiwepo kutiwa mimba bila ridhaa yetu.
 
AU ndio ihukumu Tanzania 🤣🤣🤣🤣
Au ni jibwa lisilo na meno
 
Aliesaini document alitimuliwa airport sasa anaandika libarua lidocument litamsaidia nini ukicheza na mkuu wa nchi unacheza na nchi yote hii hamsemi mkuu anatusema watanzania wote aache ataishia kubaya watanzania tuko serious sana na mambo yetu hatupendi upuuzi upuuzi na ndio maana hatujaenda kwao kuwasumbua na lolote let them be quiet kwa kuwa wanachofanya ni kuuua zaidi wapinzani nani mtanzania atataka kiongozi kibaraka wa wakenya kabisa na akili zetu timamu.
 
Ebu rudia kusema.watanzania mpo serious?
 
Kwani nchi yangu imekumbwa na nini mbona hatuna rekodi za hivi kwanini sasa
Hapo juu tuna taahira, hana hekima wala busara anadhani kufosi urais ndio heshima..... Kwanza ana siri nzito na Waarabu wake, acha tuone mwisho wake utakuwaje
 
Hizi mambo zinachafua image ya nchi,haya makelele sio mazuri kabisa ndio maana tangu yameanza maza hajaweza kutoka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…