Tanzania Yashitakiwa Umoja wa Afrika kutokana na kukiuka Haki za Binadamu

Mmh!
Kama safari ya kwenda ICC lazima tuanze na vyombo vyetu vya ndani kama bara sawa ila kama tunataka kutegemea wataadhibiana wenyewe ilo tusahau maana hawa watawala wa kiafrika wanafanana sana.
 
Umoja wa africa klimebakia kama kijiwe cha kahawa. Ni maamuzi gani ya maana wamewahi kufanya. Sanasana wanasapotiana kufanya unyang'anyi kwa wananchi wao wenyewe. Tanzania kama nchi tuna maamuzi magumu na ya maana kuliko hako kakikundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…