Tanzania yashuka nafasi 1 kwenye mapambano dhidi ya rushwa duniani

Tanzania yashuka nafasi 1 kwenye mapambano dhidi ya rushwa duniani

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,


Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024 ambapo Tanzania ilipata alama 41.

Kwenye takwimu hizo, Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kuwa na kiwango kidogo cha rushwa Afrika Maashariki ikitanguliwa na Rwanda ambayo ina alama 58, huku Kenya ambayo ina alama 30 ikishika nafasi ya tatu ikifuatiwa na Uganda kwenye nafasi ya 4 ambayo ina alama 25

Soma Pia: Zifahamu nchi zisizokuwa na rushwa Afrika Mashariki. Tanzania yashika nafasi ya 2

tanzania corruption.png


Source: Transparency International
 

Attachments

Takwimu za uongo.kwa Sasa rushwa imetamalaki kila Kona ya nchi hii.Tanzania ni ya kwanza duniani Kwa rushwa na sivinginevyo.
 
Back
Top Bottom