Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Uko sahihi na huu ni ujinga biometric imeanza mwaka 2010 hadi leo tunasuasua wakati system ingesaidia sana kiusalama.Nchi hii taabu sana acha tufungiwe tujifunze. Uhamasishaji wa kusajiri unafanyika at d hours, why and how
 
Tatizo ni kwamba hii ban itawaathiri waminywaji na sio waminyaji wa demokrasia. Wenye mamlaka wao wana diplomatic passport visa zao wala hazitakataliwa....tutakao onja joto ya jiwe ni wewe na mimi na mipassport yetu ya buluuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahangaike na yote hayo wkt watsap,emails(yahoo,gmail),fb,Google,Instagram,Android OS unazotumia kila zenye details zako zote na yote unayoyfanya kila siku mali yao na wana uwezo wa kuku monitor.
dodge
 
Matukio mangapi ya kigaidi yamehusisha watanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule Aziz siyo Muiran kweli?
 
Watu kama nyie, ukishindwa kufikiri kwa ubongo tumia hata tumbo basi ndugu!

Trump na administration yake na ushogo ni kushoto na kulia. Republicans hawana ushoga na hawajawai kuifungia nchi ama kuiwekea vikwazo kwa iyo sababu.

Ingekuwa democratic, ndio ingekuwa ni iyo sababu. Sababu zimeshawekwa hapo ni ugaidi na kutokusbirikiana katika utoaji wa taarifa.

Waache watufungie,nani anataka kwenda huko
Hizo ni hasira tu baada ya sera za ushoga kukataliwa,watarudi kivingine wakikwama na ubeberu wao
 
Tuliacha kwenda ulaya na marekani sisi tunajitegemea hatuhitaji misaada.
 
Watu wengine bwana! Hawajui kuwa dunia sasa kama mwili mmoja na nchi ni kiungo katika huo mwili. Kuna kiungo muhimu na kikiondoka ni shida.
Tunahitaji Amerika na yenyewe inatuhitaji pia. Tupambane na hali yetu na tuache visingizio vya ubeberu. Mbona humuhumu tunabeberuiana. Kwani hatuwaoni mabeberu Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Takwimu zinasemaje kuhusu watanzania wanaoishi au kutembelea Marekani? Wako wangapi huko? Wana mchango gani kwa Taifa na Jamii yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiona Tanzania ikiwa zaidi ya Zimbabwe. Huu mfumuko wa bei ndio umeanza kuelekea huko. Unga wa mahindi kg 1 ni Tsh 2000 na zaidi kwa baadhi ya sehemu.
 
Cheki ulivyo shuka lakini kwenye tukio la kushamburiwa kwa lissu sikuwahi kuona banfiko lako lolote
 
Mi nilijua labda tunawekewa vikwazo na Mungu kua tusiende mbinguni kumbe ni hapahapa duniani?? Hahahaa kwani tukienda huko tunapata nn?? Hata wao tunaweza kuwakataza wasije huku pia yan kama mbwai mbwai tu..tunaenda zetu china na Russia na South korea hahaaa
 
Cheki ulivyo shuka lakini kwenye tukio la kushamburiwa kwa lissu sikuwahi kuona banfiko lako lolote

Mbona shambulizi la Lissu tulilikemea sana tena kwa nyuzi kadhaa kila siku tukabanana na Lumumba boys wa humu JF.
 
Hata wakiweka hatuendi Kwao tulizaliwa Tz tutaishi Tz na tunaipenda Tz so watuzingue wa Tz
 
Hapa ndio mtakamata wajinga.

Si kweli kwani hata Trump haungi mkono huo ujinga sijui wa vilainishi n.k
Kuna nchi kama Uganda wametunga sheria kali kuliko nchi yoyote afrika mashariki,lakini hawapo kwenye orodha

Kuwa wakweli na kutoa sababu halisi ndio suluhu.
Kuwasakama na kuwanyima vilainishi wapenzi wa jinsia moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…